Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

Kwa location zinatengenezwa China,

Nilichomaanisha hawatengenezi simu zao wenyewe bali kuna Odm anaitwa Wingtech ndio anatengeneza simu za Xiaomi. Wapo pia Odm wengine.
Mkuu ushaniacha hapo kwenye odm...anyway nlikua naomba ushauri kuhusu REDMI 10 na REDMI NOTE 10. hapa bei zake pale kariakoo ni 440k na 560k respectively.

Matumizi yangu ni ya kawaida sana. Yaani social media, calls, text nk. Sio mtu wa games kabisa. Napenda sana CAMERA. Yaani requirements zangu za kununua simu ni Camera na Storage (at least 64gb).

Sasa nimecheki hizi simu, naona redmi 10 ina 50mp huku redmi note 10 ina 48mp.

kwa unavyoona ipi itanifaa hapo. Au simu gani tofauti na hizo hapo juu?

Budget: 350k- 400k. (Nb: hii budget sio static, naweza nikajilipua)
 
Redmi 10 achana nayo mkuu, kuliko kununua redmi 10 bora uchukue Samsung galaxy A22. Na 50mp si issue.

Redmi note 9 pia ni option kama budget inabana pamoja na redmi 9

Hivyo kwa mimi ningezipanga hivi
-350k mpaka 400k redmi note 9
-400k mpaka 450k galaxy A22
-450k mpaka 550k redmi note 10

Kwa camera go with redmi note 10 ama A22.
 
Shukrani sana mkuu. Ubarikiwe
 
Mkuu ushaniacha hapo kwenye odm...anyway nlikua naomba ushauri kuhusu REDMI 10 na REDMI NOTE 10. hapa bei zake pale kariakoo ni 440k na 560k respectively.

Matumizi yangu ni ya kawaida sana. Yaani social media, calls, text nk. Sio mtu wa games kabisa. Napenda sana CAMERA. Yaani requirements zangu za kununua simu ni Camera na Storage (at least 64gb).

Sasa nimecheki hizi simu, naona redmi 10 ina 50mp huku redmi note 10 ina 48mp.

kwa unavyoona ipi itanifaa hapo. Au simu gani tofauti na hizo hapo juu?

Budget: 350k- 400k. (Nb: hii budget sio static, naweza nikajilipua)
hilo duka wana account insta maana nataka one plus nord
 
Mkuu nichukue ipi kati ya hizi simu mbili?. samsung a32 na sharp aquos sense 7 plus.
Ni A32 plain ama A32 5G?

Sense 7 plus nzuri zaidi ikiwa ni plain A32.

A32 5G pia imepitwa na sense 7 plus ila utofauti sio mkubwa sana kama A32 plain.

Pia ufahamu simu zote mbili hizo zitakua mtumba hivyo utapaswa kuangalia na hali za simu husika, warranty ya muuzaji etc kufanya maamuzi. Simu used hazikawii kuwa na matatizo.
 
A32 5G ndo nayotaka. kwa sasa hivi ina bei gani?.
 
Back
Top Bottom