Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

Ni person zaidi maybe niweke hii ya kibegi

IMG_20210504_101933.jpg
 
Proximity sensor imezibwa mkuu ama ina matatizo, Mara nyingi husababishwa na protector kuiziba. Anza na kutoa screen protector safisha pale mbele juu uone kama itasaidia.
Mkuu nje ya mada kidogo
Mimi nipo Zanzibar natumia Aliexpress, lkn nikitaka kununua simu seller weng hawatumi kuja huku labda kuna njia nyengine ya kufanya.
Nimezipenda hizi redmi note 9 tv1¹

Tv1 ndio nini sijaelewa.

Posta ya Znz ni tofauti na huku?
 
Tv1 ndio nini sijaelewa.

Posta ya Znz ni tofauti na huku?
Hiyo tv1 imeingia kimakosa.
Posta nadhan ni moja lkn cha kushangaza bidhaa nyengine hua hazitumwi huku.
Mfano hiyo link hapo juu jaribu kuweka shipping in Zanzibar utaona.
 
itakua labda ni masuala ya kodi. amgalia kama kuna parcel forwader, nimegoogle nawaona zan express wapo mlandege, mawakala wa aramex, waulize kama wana shop and ship nao.
 
Ok
Ahsante
 
Jaribu ku disable Ambient display (Always on display) setting zake unazipata kwenye Google now settings.
Nimenunua redmi note 10 naona imeandikwa made by rising star, made in INDIA halafu ina mambo ya ki hindi hindi sana.
Nilitegemea kuona made in CHINA by xiaomi
 
Hata China Xiaomi hatengenezi simu.

Cha muhimu ni global version ama version ilitengenezwa kwa ajili ya India?
 
Global version inakuwa na huduma za Google moja kwa moja VS Chinese version haina huduma za Google. Lakini zote zinashika mitandao vyema.

Ili kuweka huduma za Google kwenye Chinese version kuna utaratibu wa kufuata na mara nyingi huwa inaleta usumbufu kutumia Google apps kwenye Chinese versions.

Nakushauri utumie simu yenye Global version. Maana nina experience ya Redmi K30 4G inazingua sana kutumia Google apps ila vingine vyote viko sawa.
utaratibu gani mkuu?
 
Version naangaliaje ili kujua kama ni global au indian
Halafu hii gsmarena ni ya wahindi?
Gsmarena ni ya wa bulgaria, sema majority ya visitors ni wahindi.

Version ya India haina band 7 ya Halotel 4g, kama upo eneo Halotel wana 4g test.

Na ukienda setting Kisha about utaona wanaandika kama ni global ama specific country.
 
Ni kweli haina 4g kwa halotel
Ni miui 12 global
 
Back
Top Bottom