Kwahiyo jamaa ni nyoka wa kibisawe unamsikiliza Behaviourist na hukumbuki huu ni mwanzo wa mwezi?? na dawa inaonekana hajameza! we mwangalie kuanzia nxt week km atasumbua ! ni dawa zimeisha ! na huyu le don himsef donlucchese huyu nataka nimpe ofa ya kumpeleka club ! nimemis kias kudance mume walau nicheze' turn up' jaman!hana sumu kabisaaaaa!
Jaman mbona umesahau kuongeza sifur moja hapo momyhahaha alinitumia 20000/= nilichofanya nikajiongeza !nikaenda fanya PADICURE tu ikaisha !nasubiria mwezi huu mwishOn nione itasoma digits ngap !tutaenda sawa tu !
Hili somo lilitolewa wapi tena!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shoga wewe hapana kwa kweli!
Umenikumbusha lile somo tulipewa la kutoka out na nguo za Ki Nigeria na bonge la lemba!
Halafu mtu akifika out anaanza kuboreka akiona wenzake wametupia tights, high heels na vimini...LOL!
Sent using Jamii Forums mobile app
kama wote wanataka amani wampotezee huyo mrembo..... mkuuHahahaaa!
Na mke pia ahusishwe!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shoga wewe hapana kwa kweli!
Umenikumbusha lile somo tulipewa la kutoka out na nguo za Ki Nigeria na bonge la lemba!
Halafu mtu akifika out anaanza kuboreka akiona wenzake wametupia tights, high heels na vimini...LOL!
Sent using Jamii Forums mobile app
Napendwa we acha tu mtoto nakandwa nakandikaAaaah mahaba nilipue nilipuke lipuuu!! Basi sawa bwana shemeji.
Duh aya bhanahapana mume labda ulijisahau au wakala alikupiga !ulituma 20000/ tena bila ya kutolea mume