theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,732
hahhaa hapana mkuu nataka hiyo familia iwe salama.... ume ni quote vibayaHahahaaaaa!! Mzee wa fursa nakuona uko kazini.
hahhaa hapana mkuu nataka hiyo familia iwe salama.... ume ni quote vibayaHahahaaaaa!! Mzee wa fursa nakuona uko kazini.
hapana mume labda ulijisahau au wakala alikupiga !ulituma 20000/ tena bila ya kutolea mume
Hili somo lilitolewa wapi tena!!!
Unayakanda kwa maji ya uvuguvugu, km unayabinya flani iv taratiiiibuhahaha ndo kapeace namuomba anipe maujuzi
Eti bila ya kutolea! [emoji28]
Hiyo inakuwa separate manake!...lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu demi sijamuona kitambo!! Sijui kapata kiben ten!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I'm done with y'all!!!!!
Neybright demi
Mkuje kuchukua shoga zenu mie nafwaa! [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
nitamfanyia cardiectomy and all will be fine mkuu so asiwe na wasiwasi aje kwa mkuu hapaMoyo umegoma kusukuma damu.
Unayakanda kwa maji ya uvuguvugu, km unayabinya flani iv taratiiiibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitumbua kishatumbukia mchanga. Haya mambo mengine yanakera kweli.Ni Kweli, lkn mdogo mtu anamuamini kaka/baba yake hata akiolewa kaka mtu atamsumbua na atamvuruga
Sent using Jamii Forums mobile app
jamani ile sms mpk leo huwa nacheka had nasweat ! mie huwa napenda kusoma txts za aina hyo nakuweka picha kbs jaman nilicheeekkkka !hapana jaman nilicheka mnoo !ila ina ukweli wote! dah niliwakumbuka washona matenge ya ajabu ajabuu hahahahh!usku wewe umenin'giniza lemba kuuubwaa hahahha mama weeeeeeeeeee! dah ngj uitafte hyo text tumpe espy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti bila ya kutolea! [emoji28]
Hiyo inakuwa separate manake!...lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mkubwa ana roho mbaya sanaKitumbua kishatumbukia mchanga. Haya mambo mengine yanakera kweli.
kama yuko humu mwambie ani Pm hahahh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuelewa mkuu, hakika wewe utakuwa mkombozi wa hiyo familia. Ngoja nimwambie akutafute.
Enheeee!Unayakanda kwa maji ya uvuguvugu, km unayabinya flani iv taratiiiibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!, umeikumbuka..
Ntaitafuta nimpe espy.
Khaaa!, imagine mtu anaenda dinner na Bonge la Lemba mpaka anawaziba waiters wanashimdwa kuona upande wa pili wa room..
Sent using Jamii Forums mobile app