![]()
![]()
![]()
![]()
Khaah umenikumbusha mbali jamani. Nahisi kigoda huna, njoo ununue maana ninaviuza.
Basi ondoa shaka, kesho asubuhi na mapema kitakufikia.hahahaa kweli sina namuweka kwa stuli tu !niwekee kimoja jaman ! dah
Basi ondoa shaka, kesho asubuhi na mapema kitakufikia.
Heaven Sent na Nalendwa wao walishachukua vyao mapemaaa. Ulibakia wewe na Neybright
Bas mwambie john aachane na mapenz ya watu apambane na hali yake pamoja na mke na watoto wake, wenzake wanapendana yeye analeta shobo, hii ni kama watu wasiojulikana wanaomumendea baby wangu MBITIYAZA![]()
![]()
![]()
![]()
Unaweza ukawa na umri mdogo lakini ukawa na busara,ulmawazo na hekima za kiutu uzima kabisa.
Naviomba vya kwangu jamani, nisije kuachika bureBasi ondoa shaka, kesho asubuhi na mapema kitakufikia.
Heaven Sent na Nalendwa wao walishachukua vyao mapemaaa. Ulibakia wewe na Neybright
asante mwanamke mwemzangu kwa kuijali ndoa yangu 'mupya'! nataka nirekebishe makosa ya kulle ya kwanza !huyu ni mwendo wa kumbeba tu mgongon na alivyo mdg kiumri ah sina shida mie !yaan namlea km mwanangu wa 1! maana nimempita 22yrs !yaan kitu damu changaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wacha we!!Bas mwambie john aachane na mapenz ya watu apambane na hali yake pamoja na mke na watoto wake, wenzake wanapendana yeye analeta shobo, hii ni kama watu wasiojulikana wanaomumendea baby wangu MBITIYAZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemu yaan nikionaga tu jina mbiti huwa moyo wangu unalia puuuuuuuuuuuuKama ulimuweza MBITIYAZA basi na hili unaliweza shemeji.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haki sikuwezi, mie nikajua kigoda ni kwaajili ya pampula kumbe damu changa!!!
Basi jitahidi mama ila usirudie makosa.
Ninafuraha ya kuwa penzin na wewe dear ila watu wasiojulikana wanaokumendea wananipa mawazo sanaakili mie ishachoka nimeona uzi mrefu nitasoma asbhiii !hahahah nanyupu kashaniweka ndani ! nampakata na kumbeba kumpeleka bafuni na visosa juu
Nataka vya design nyingine, maana hukawii kutafutiwa sababu, "anatumia visosa vya aina moja tu"Unataka vingine tena!! Au umeanza michepuko!!