Ushauri wa haraka unahitajika

Ushauri wa haraka unahitajika

Hahahaa!! MBITIYAZA kaelewa somo, moyo umeanza kupondeka hivyo hana budi kubeba na visosa.
hahaha kweli kulima kwataka nyenzo,mgongo ukiupinda ndio unapata funzo. Naona timu ya manyakanga wa MBITIYAZA Iliongozwa na espy Heaven Sent Nalendwa Sakayo Shunie Neybright hku maandilizi yakisimamiwa na kijana machachari Daby kwa timu hii ya rasilimali watu [HASHTAG]#Ngosha[/HASHTAG] yupo shakani, shamba litamshinda siku nyingi hahaha wawekezaji wanaonyesha interest kupitia nyuzi mbalimbali,yangu macho
 
Hahaaaa!! Mie ni muuza nyenzo tu, hayo mengine hata mimi mgeni
 
Back
Top Bottom