MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Beira Baby Boy njoo hapaHebu muite nanyupu atuthibitishie hapahapa.
Beira Baby Boy njoo hapaHebu muite nanyupu atuthibitishie hapahapa.
Kumbe ashakuwa baby boy!!!Beira Baby Boy njoo hapa
Tutaftane jamani,nini lakini?Mwenza nipo.
Ukiona kimya uje unitoe lupango.
Niko nawatafuta "watu wasiojulikana"
Nani mwingine zaidi ya Daby wangu?Nani anakuficha siku hizi? Maana kwa kaka yangu haupo!!!
Hata kwa kiranga uliniambiaga hivyo hivyo ila bado uko hai hadi leo. So najua ni maneno tu!Nani mwingine zaidi ya Daby wangu?
Ukisikia tumeachana na daby jua imebaki siku1 tukufe
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha kweli kulima kwataka nyenzo,mgongo ukiupinda ndio unapata funzo. Naona timu ya manyakanga wa MBITIYAZA Iliongozwa na espy Heaven Sent Nalendwa Sakayo Shunie Neybright hku maandilizi yakisimamiwa na kijana machachari Daby kwa timu hii ya rasilimali watu [HASHTAG]#Ngosha[/HASHTAG] yupo shakani, shamba litamshinda siku nyingi hahaha wawekezaji wanaonyesha interest kupitia nyuzi mbalimbali,yangu macho
Lea tu mama, cha msingi furaha na uvumilivu![]()
Wewe ndio umegoma kuja kununua visosi?
Nipo mrembo wangu.
Mwenza majukumu yalivyobana....we tumbua nae tu kwa muda ambao haujulikani.Mwenza yamekuwa hayo!! Tafadhali sana bado nakupenda sana, yule mume peke yangu simuwezi.
Nitumbue nae kwani yupo sasa!! Sijui hata yupo kwa mchepuko gani.Mwenza majukumu yalivyobana....we tumbua nae tu kwa muda ambao haujulikani.
Nikirudi mme wetu atakuwa wangu for 4 weeks.
Ila mume mwenyewe anachepuka....nilimbamba mtaa wa saba anachepuka