Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

IMG_6009.JPG
IMG_6010.JPG
IMG_6008.JPG


Huwezi kulinganisha Dodoma na mji wa hovyo kama dar, mm nimezaliwa dar nimekulia dar kwa zaidi ya miaka 30 ila leo hunitoi Dodoma fursa ni nyingi miundombinu inaruhusu kufanya ninachotaka.
 
Mnaojifanya sijui ma-analyst wa uchumi mi wengi wenu huwa naowaona wa hovyo tu. Kazi kulalamika na kuonyesha theoretical concepts ambazo zinafanya kazi kwenye makaratasi tu. Tukifuata hizo theory zenu ambazo hata huko majumbani kwenu hamzitumii kuinua kipato cha familia zenu we will always stay in commotion!
Kwani nani kakuambia ufuate ninachoandika?
 
Aman itamalaki kwenu

Leo nimejitolea kutoa ushauri wa bure kabisa bila malipo. Toka Rais atangaze Dodoma kuwa makao makuu ya nchi watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Dodoma mambo ni shwari sana. Ukweli ni kwamba Dodoma mambo ni magumu sana hakuna mzunguko wa pesa wala nini.

Ni pakame sana na pana watu wavivu sana wasio penda kazi. Kwa hiyo basi ndugu zangu msije Dodoma. Kuna watu wengi sana wanakuwa wanatoka mikoa yao na kuja Dodoma wakidhani kuna maisha mazuri na maisha ni magumu sana

Hakuna pesa wala nini. Kwanza flame bei juu na hakuna pesa kabisa

Shauri yenu
acha kudanganya ili ufaidi peke yako! Kilio cha mzunguko wa pesa kipo mikoa yote. Cha msingi fanya kazi pesa utaiona. Enzi za kupiga madili zimepita. Wenye kazi na biashara halali wanaingiza pesa wewe unalialia na mzunguko
 
acha kudanganya ili ufaidi peke yako! Kilio cha mzunguko wa pesa kipo mikoa yote. Cha msingi fanya kazi pesa utaiona. Enzi za kupiga madili zimepita. Wenye kazi na biashara halali wanaingiza pesa wewe unalialia na mzunguko
Afaidi peke yake halafu tena analia na mzunguko.... Point yako haina logic kabisa
 
Maneno ya watu wa Dar wakija mikoani ndio hayo. Ooh hakuna mzunguko wa pesa.. hivi na hivyo! Halafu unamkuta hata kiwanja kashindwa kununua..kwa pesa anazopata huko penye mzunguko
Yes, kama wa dom wavivu hapo ndio nafasi nzuri ya kutumia fursa, mbona dar ilijaa wazaramo na wamatumbi miaka hiyo wenyewe ni ngoma kila weekend. Wapo wapi sasa hivi?
 
kuna mikoa kama DSM/Mwanza/Morogoro...kilichosaidia kuchangamsha wenyeji ni WAGENI kutoka kila pahala Tanzania..naamini hata Dodoma itakuja changamkaaa

Angalia mikoa/miji waliyopingana na wageni ka imebadilika? ipo vile vile...kuanzia January hadi December...1990's adi 2010's haibadiliki
Hata Moshi?
 
dodoma ina laana, ukija na vyombo vya usafiri siku ukikamatwa gari ikikaa police siku unaitoa unakuta mafuta hakuna, bodaboda kuna kitu wanakiita sumatra...wakikukamata unapelekwa jengo la mhandisi wa jiji wanazificha boda humo alafu siku wanakupa unakuta hakuna mafuta. Mjipange wageni mnaohamia dodoma, dodoma kugumu alafu wakuda ni wengi sana yaani. mtafilisika haloo, kuna wafanyakazi wa serikalini wa hovyo sana kisa wameambiwa huu ni mji mkuu wa serikali. Rushwa nyingi, biashara hakuna, kodi kubwa kubwa, mazingira ya hovyo sana hakuna kitu dodoma. Wageni wa kuwekeza wafanye research za mtaa kwa mtaa kabla ya kuwekeza aisee!!!
 
Ile ring road imekamilika? Kuna kiwanja flan kimepitiwa sasa nasubiri watengeneze na mm nije kuangalia kama patakua na fursa
 
Back
Top Bottom