Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,325
- 5,543
Hv ndugu yako kawe yuko wap cku hiz?
Ninakusoma. Ni wakati muafaka wa makamanda kubadilika. Vinginevyo ni kutuangusha wananchi.
Strategists walipaswa kujua kwa usahihi kabisa pasi na shaka, hali ingekuwa vipi wakifika vipi Uhuru.
2015, strategist wa maana alipaswa kuyaona hayo ya Lowassa na afya unayoyasema wakati ule.
Strategist wa maana atawatoa kwenye uanaharakati kwenda kwenye chama cha kushika Dola.
Ukweli mchungu, ni hapa tulipopishana na kina Sumaye, Lowassa na wengi ambao wangependelea zaidi siasa za kistaarabu.
Tunaweza kupata tunachotaka bila kupambana na kina mamboleo wala bila kuwa na tume huru.
Kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. Siamini kama Lissu na risks zote na exposure yote, na hata ile rejeaaji kuwa hayajui hayo.
Believe me wale jamaa zetu wamenuna kweli kweli.
Ngoma inaweza kunoga bado. Tusimnyanyapae kachero mbobezi.