Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,949
- 103,302
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Ni kweli cdm wanaweza wasishinde uchaguzi, ila sio kwa sababu unazosema ww.