Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

967d35a78db620baa87907cfd44289e2.jpg


Mtt kama huyu huwezi kukuta hayo mambo.


Halaf masuala ya kunuka ni personal hygene
Awo ndio wengi wananuka, kwa sababu mapaja yanakuwa yamebanana sana
 
Yanapokula hayakai kwenye viti hukaa sakafuni au mkekani kwa ajili ya umbeya. Sasa wanapokula wanahama hama kujivutavuta kwa shibe ili aendelee kujinoma mwisho chupi hiyo inahamia tako moja.
Utasikia wakati wa kusimama anaita shoga nivute nisimame si kwa shibe hiiiii. Sasa kama ni mwembamba ajisimamie bila kuvutwa.
Uswahilini tunaona mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
emoji za kucheka hapa ndiyo mwake...sijui ziko wapi...
 
Sijui Mungu nimrudishie nini kwa wema huu wa kutuumbia sampuli hizi za wanene mabonge.
Natoa pendekezo wote wenye kuwa na wake wapenzi mabonge Wiki hii tukatoe sadaka ya shukrani kanisani na misikitini. Tupewe air time kabisa kumrudishia Mungu utukufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaswali kwa shekhe kipozeo..! Atakupa airtime ushukru rehema za Allah..!
 
Yaani Mimi nikimuona mwanamke bonge tu nachanganyikiwa kbc niwatamu balaa tena umkute mwepesi kitandani lzm uombe poo Mimi siwezi chukua kimbaumbau aisee naogopa kugeuka fundi mageti maana huko chumbani itakuwa ni mwendo wa kwa kwa kwa kama kunafundi ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa bonge wepesi anaupata wapi..! By default awezi kuwa mwepesi utaambulia kiharufu cha panya basi..!
 
mie nimepita kwenye ubonge ! jana nimepima am weigh 99.7kgs !alafu mfupi sasa, short chasis !namiminika hatar! wawez zimia ! we niache tu mkuu ! nina pingili 4 tumboni kama pipe
wadanganye hao hao....we kipotabo nakujua...........
 
Mi nawapenda wallah! hao wembamba itokee tuu ila mi nawapenda ma miss bantu
 
Asilimia kubwa ya watu wanodumu kwenye ndoa utakuta wanawake mabongee jiulize kwann endelea kula mifupa acha vibonge tujinafasi

Rais wa mabonge jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bonge wepesi anaupata wapi..! By default awezi kuwa mwepesi utaambulia kiharufu cha panya basi..!
Mkuu usijidanganye kuna mabonge ni wepesi kuliko udhanivyo halafu wasafi balaa ukizama chumvini ni kama unakula baga vile mimi nimewahi kutana nao kama 3 na wote ni hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom