Ushauri wa bure kwa Waislam

Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Labda nikuulize suala kidogo hapo kabla sijasoma zaidi.

1. Je zile kodi watakazokuwa zinachukuliwa na Serikali ya TGK watazitumiaje? au wa wakatwe lakin zipangiwa kuendesha mahakama za Kikiristu?

2. Lakin mbona Serikali hiyo hiyo ya JMTz kila mwaka inatoa 1.2 Bil kuyapa makanisa kutokana na Mou ya Kanisa na Serikali ya JMTz iliyosainiwa na Lowassa? Mbona waislam hawalalamiki hapo?

Ni hayo tu naomba ufafanuzi wako.

siku zote huwa unafikiri anticlockwise writing clockwise!

Daktari mmoja pale BUCHS na KCMC anagharimiwa sh 40mil mpaka kumaliza course, yeye analipia 20mil!

Hospitali za sadaka zetu mnatibiwa kwa rufaa ya gharama za chini, KWA NINI SERIKALI ISIFIDIE?
There is no free lunch

J.K. aliwaambia jengeni mahospitali na nyie halafu daini MOU kama ya Lowasa

USHAURI:
Gomeni kwenda vyuo na hospitali zetu makafiri, MOU itakufa yenyewe TENA ANZENI KESHO ili foleni zipungue mahospitali na vyuo vyetu mkajazane MUM
 
Mkuu sipendi kabisa kujadili mambo ya dini lakini inanilazimu kukujibu kutokana na wewe mwenyewe kutoelewa ama kutazama upande mmoja tu.

Ebu niwaulizeni, Ikiwa serikali itaamua kutumia sheria za secularism kwa wote, Je mtakubali sheria hiyo hiyo inamruhusu mwanamke wa kudai taraka mahakamani - Wwakatoliki wataikubali? maana itakuwa sheria kwa wote na tunalazimika kuifuata pasipo kujali imani za dini. Sasa hawa jamaa zetu wanaomba utaratibu wao ambao hautambuliwi na serikali, japo ktk ibada zao za kesi za madai ni lazima zipitie mahakama ya kadh,i kuna kosa gani kwa serikali hii kutambua maamuzi ya mahakama hiyo kama inavyotambua maamuzi ya kikanisa juu ya ndoa na migogoro ya unyumba baina ya waumini wake.

Tuna aina mbili ya sheria, secular na pia mila na tamaduni zinakubaliwa (cultural law) ambazo zinatokana na jamii yetu hivyo nyie mnaona taabu gani kuwaachia waislaam wafanye maamuzi yao na yatambuliwe na sio swala la wao kwamba wanaomba fedha za walipa kodi kuendesha mahakama zao bali mahaka hizi zitambuliwe kisheria ili isije sheria za secular zitumike ktk ndoa za Kiislaam.

mkuu kwenye red ufafanuzi kidogo: mahakama za kadhi zitambuliwe au maamuzi yanayotoka mahakama ya kadhi yatambuliwe/yaheshimiwe na serikali?
 
Mna mahospitali nyie?
Hizo clinic unaziita HOSPITAL?

Je unatambua kuwa MJENZI WA HOSPITALI YA MUHIMBILI NI MUISLAMU?

Nahakika hilo HULIJUI.Kwa sababu HUNA ELIMU YYT zaidi ya hio ya kupika Gongo.
Sasa nenda kaulize kwa WENYE KUJUA lile jina "SEWA HAJI " ni la nani. Na Huyo MJENZI WA HIO HOSPITALI ALIKUWA NI NANI!

Eti " HOSPITALI ZETU MAKAFIRI!"

Nyambaf kafiri usiejitambua we.

Inakuaje mkuu hivi matusi kwako ni bora?
 
Mbona hakuna aya hapo inayoelezea mahakama ya kadhi mkuu? Nipe aya inayoonyesha hii mahakama mnayolilia..sio hadithi za muhukumu kwa haki.

Tumia akili kidogo Mkuu matumbo. Unapoambiwa muhukumiane kwa haki, Mnaenda kuhukumiana wapi na kwa sheria zipi?.
 
Huyo kafiri hapo juu humuoni sio?

Au na wewe una macho ya kigalatia!
Yanayotazama upande mmoja tu.
Soma uzi uone nani kaanza matusi. Sio kuniijia mimi km tunafahamiana.

sijatukana na huwa situkani, ni maelekezo ya mwamedi mtu akifa anakamuliwa kinyesi! TUSI LIPI?
 
sijatukana na huwa situkani, ni maelekezo ya mwamedi mtu akifa anakamuliwa kinyesi! TUSI LIPI?

Usiwe mjinga wa kutukana na kukashif watu na imani zao.
Kufanya hivyo ni kukaribisha kutukanwa ww wazani wako na imani yako.
 
Usiwe mjinga wa kutukana na kukashif watu na imani zao.
Kufanya hivyo ni kukaribisha kutukanwa ww wazani wako na imani yako.

TUSI LIPI? Kwani huwa hamkamui vinyesi mtu akifa? Hata kama mwanamke mnene mnakamua tu, tena wanaume
 
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.

Kama mahakama ya kadhi ni ibada ebu tuwekee kifungu cha qurhan kinachoelezea uwepo wa mahakama hiyo. Asilimia kubwa ya waislam hawaijui vema dini yao, huo ndio ukweli. Issue hapa serikali isihusike kuunda chombo hicho kwa kuwa ni cha kidini? hiyo ndio spirit yetu sisi watz kwamba mambo ya dini yabaki kwa wenye dini wenyewe(je hili linahitaji degree kuelewa au ndio mwanzo wa waislamu kutaka machafuko kwa kisingizio cha kudai haki ya mahaka ya kadhi?) Mimi napata mashaka sana ndugu zangu hawa ni janga la dunia!!!
 
we unatembea nacho tumboni! FAIR SQUARE

Sisi tukienda haja kubwa tunanawa ila nyinyi mnajifuta na makaratas mkiulizwa mnasema maji yanaleta fangas na harufu mbaya teh teh teh kwel nyinyi majuha hiv maj na kinyes nini kinatoa harufu
 
Mna mahospitali nyie?
Hizo clinic unaziita HOSPITAL?

Je unatambua kuwa MJENZI WA HOSPITALI YA MUHIMBILI NI MUISLAMU?

Nahakika hilo HULIJUI.Kwa sababu HUNA ELIMU YYT zaidi ya hio ya kupika Gongo.
Sasa nenda kaulize kwa WENYE KUJUA lile jina "SEWA HAJI " ni la nani. Na Huyo MJENZI WA HIO HOSPITALI ALIKUWA NI NANI!

Eti " HOSPITALI ZETU MAKAFIRI!"

Nyambaf kafiri usiejitambua we.

tunasema mmiliki na siyo mjenzi! Banda langu la nguruwe lilijengwa na Fundi Hassan so niliite la Hassan?

We Tabular Rassa kweli
 
Ishmael

Acha kudanganya watu wewe! Maswali yako yalishafanyiwa kazi na kujibiwa. Majibu yako ni hayo hapo chini. Hiyo ni katiba ya kenya ya Sasa.

"Part 3—Subordinate Courts
169. (1) The subordinate courts are—

(a) the Magistrates courts;

(b) the Kadhis’ courts;

(c) the Courts Martial; and

(d) any other court or local tribunal as may be established by
an Act of Parliament, other than the courts established as
required by Article 162 (2).
We are talking about Tanzania and not Kenya.


(2) Parliament shall enact legislation conferring jurisdiction,
functions and powers on the courts established under clause (1).
Subordinate courts.
R e v . 2 0 1 0 ] Constitution of Kenya 105
170. (1) There shall be a Chief Kadhi and such number, being
not fewer than three, of other Kadhis as may be prescribed under an
Act of Parliament.
Kenya is not Tanzania

(2) A person shall not be qualified to be appointed to hold or act
in the office of Kadhi unless the person—

(a) professes the Muslim religion; and

(b) possesses such knowledge of the Muslim law applicable to
any sects of Muslims as qualifies the person, in the opinion of
the Judicial Service Commission, to hold a Kadhi’s court.

(3) Parliament shall establish Kadhis’ courts, each of which shall
have the jurisdiction and powers conferred on it by legislation, subject
to clause (5).

(4) The Chief Kadhi and the other Kadhis, or the Chief Kadhi and
such of the other Kadhis (not being fewer than three in number) as may
be prescribed under an Act of Parliament, shall each be empowered to
hold a Kadhi’s court having jurisdiction within Kenya.

(5) The jurisdiction of a Kadhis’ court shall be limited to the
determination of questions of Muslim law relating to personal status,
marriage, divorce or inheritance in proceedings in which all the parties
profess the Muslim religion and submit to the jurisdiction of the Kadhi’s
courts."

All of this is pertaining to Kenya's constitution and not Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom