Nimekubali matusi yote sheikh.....Ila ungejibu hoja,ni surat gani kwenye quran inayohalalisha mahakama ya kadhi? au wapi mwamedi kaizungumzia mahakama ya kadhi iundwe na serikali?.... Jifunzeni uislamu wadogo zangu.
Dogo,nipe surat kwenye quran inayozungungumzia mahakama ya kadhi usizugezuge....kama haujui sema wanazuoni tukufundishe.
Ahh!!! Si ukae kimya kama huna hoja ya maana kuchangia?????? Sio lazima kuchangia na kuongeza page huku jukwaani.Nimekunote kwenye " wanapenda kuingiliwa" unajua mtu anayependa vya bure hatima yake ni kuingiliwa. Hata mwanamke anayependa kuombaba hatimaye huingiliwa
Matumbo hata tukikupa Sura na Aya, utaelewa au utaendelea kutusumbua. Mahakama za Kadhi ni kwa Mujibu wa Qur-an. Hapa nakuwekea baadhi ya Sura na Aya kama ifuatavyo.
......... Na mnapo hukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu." (Qur-aan, 4:58)
...Na hukumuni kwa haki. Hakika Mwenyezi Mungu Anawapenda wanaohukumu kwa haki. (Qur-aan, 49:9)
...Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na ucha Mungu... (Qur-aan, 5:8)
Matumbo hili ni somo refu watu wana Degree za Islamic Sharia. Hapa nakuweka sawa kidogo tu.
Well narrated Ishmael .
While appellate jurisdiction is mainly used to correct the errors that may be committed by trial Courts. Now in Kadhi Courts, what jurisdiction will they use in the event the Plaintiff or Defendant wants to appeal?
MY RECOMMENDATIONS
(1) All people should be given options to go to independent or higher courts. The High Court and Court of Appeal should be above religious courts, if such courts are part of the Constitutional provision either directly or indirectly;
(2) There should be an open door policy to change the laws which cannot be challenged,
(3) Courts should be authorized to employ scholars who would enlighten judges on the interpretation of religious doctrines;
(4) The draft recommends setting up Village Councils to deal with minor problems in rural areas, which can take care of local religious sentiments to protect national unity and religious harmony. Expand the role of Village Councils to deal with social disputes;
Respectfully submitted,
Nikianza kukujibu wewe ntakutukana bure tu!
Bora nikupuuze.manake wakati mwingine hunifurahisha.
Kwa hiyo sitaki nikutukane bure.
Kaa mbali. Hapa najaribu kumsaidia Kapumbu! Aka Kakende ka paka!
Stupid questions and stupid reasoning, all questions can be answered simply by looking at other countries who have Kadhi's and or to go back few years in history before Nyerere abolished the Kadhi in Tanzania.
Kwan hao bakwata ni nani haswa c hao waislamu wenzenu kama wanawasaliti inaonyesha mna shida,ni shida kulaumu wakristo huku ukijua hawausiki na issue zenu
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.
Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.
Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zina utaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu ya msingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili ya mirathi wakati tayari kuna mahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.
Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.
Halafu unaweza kukuta hata VAT tu hujawahi kulipa! Unanunua kila kitu kwa wamachinga na mama ntilie.
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.
taja sababu ya kutokwenda kuomba uraia huko kwenye gurantee kuishi kiislamu in all aspects...na ung`ang`anie hapa kwenye vikwazi vya kila namna...
Kuwepo kwake si tatizo.........Nadhani hoja iwe ni nani atagharimia uendeshaji wake? Kama ni kutokana na kodi basi haitakuwa sawa maana kodi zinatokana na wasio Waislamu pia.
uko sahihi mkuu, hata wakisema walete majini toka uarabuni kuendesha kesi mi naona sawa.
Tatizo ni kwa nini KODI YANGU itumike?