Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.

screentouch...weka hilo bandiko la
kwenye thread yako pale juu....
 
Hapo kwa position ya wanawake ni kweli wana mkonsider mwanamke si kitu hafu pia hapo kwenye appointments of the kadhis sijui ni vigezo gani watatumia au kujua qurani hi mahakama hafai sehemu kwenye dini tofauti na imani katiba tu kuitambua itaharibu kila kitu
 
Dhehebu kubwa hapo Tanzania la Waislam ni lipi? Ninakuuliza wewe? ukisha nijibu hapo ndio hao wanaotaka Mahakama ya Kadhi.
Nasikia BAKWATA. Mimi nakuelewa sana mkuu. Nimeanzisha uzi huu kwa lengo lakujifunza lakini nashangaa watu wananitusi badala yakuelimishana. Hivi ukifika Tandahimba pale Mtwara ukimwambia mtu wa pale tunataka mahama ya kadhi unadhani atakuelewa? Chamsingi kwa wale wanaofahamu awe muislam, Mkristo au Mpagani atufundishe hapa kwanini mahakama ya kadhi? Kwani mahakama zilizopo kisheria hazitoa haki kwa waislam?

Sikuwa na lengo lakibaguzi hapa Mimi mwenyewe mkewangu muislam na kila mtu anaishi na imani yake na tunawatoto wawili.
 
Wewe kwel umesoma!!!! Sasa hapa tuko kwenye din au histr? Weee vip

Hapa hatupo kwenye histori. Tunaelimishana kuhusu umuhimu wa mahakama yakiislam 'kadhi' lakini kujua asili yetu sio zambi. Ujue kwamba kabla yakuja ukoloni Tz hakukuwa na Muislam wala Mkristo, tofauti zililetwa na wakoloni watunyonye kirahisi.
 

sasa hapo kwenye red,ni kwanini mnataka serikali ichangie wakati inawahusu ninyi na si dini nyingine wakati kodi zinakusanywa kutoka dini zote na wasio na dini pia?
 

Si kwel kaka kumbuka mwisho wa Uzi ulisema tuje tutukanane mwisho utukomeshe au ulikuwa unatania
 
Unajua unanichekesha sana, Huyu anayewafanyia hiv na mwanadamu mwenzao lakin kitabu hakiwarihusu kufanya hiv ,au kama unaushahid wa Quran tukuf leta . na kuhusu kuomba uraia nchi za kislaam kabla sijaenda nataka niwasilimishe kwanza nyinyi ndio niondoke
 

mbona mpaka 1963 mahakama za kadhi zilikuwepo tanganyika AU WAKATI HUO KULIKUWA HAKUNA WAKRISTO, WALA SHIA WALA WANAWAKE??
 

hizi ndizo excuse unazotumia kutokwenda huko unapopatetea..ambazo baadhi ya hizo nchi watu wake wengi wamekimbia (refuge for political asylum) kuelekea nchi za makafiri...
sina tatizo na dini yako at all....tattizo langu ni watu kama wewe msio na religion tolerance ni kujiona hii ardhi ni yenu peke yenu na kukashifu wengine kama vile si binadamu...
 
Kwa nchi hii ambayo ni Rafiki wa Marekani mzuri tu
Mahakama ya kadhi sahau kabisaa
 
Gavana

Why copy and paste! In any instance, before doing or copying, one must establish his or her needs first, then analyse these needs in the context of possible options in realizing them, only after this that one can look into the best practice elsewhere. And forgive me! Is Kenya or Zanzibar an example of best practice in this context? I doubt! But arguing on the basis of if others have then we must is simply a copy and paste which is killing this country!
 
Last edited by a moderator:

mkuu Mkandara umeeleza vyema je hizo mahakama za kikatoliki zinagharamiwa na serikali!?
suala la serikali kuzitambua si baya lakini ubaya unakuja jambo binafsi la kiimani kugharamikiwa na serikali.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu wanaoijua dini uwezi waona wanalilia mahakama ya kadhi....Quran tukufu haijaruhusu mambo ya mahakama ya kadhi....Ukiona mtu anashupalia mahakama ya kadhi basi ujue haujui uislamu anadandia aje tumfundishe.


Laanakum Llah!
 
Okay, maamuzi yao yakitambuliwa, unazungumziaje kifungu cha hiyo hiyo katiba kinachozungumzia serikali kutokuwa na dini, kifutwe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…