Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,744
- 18,008
Nilisha bambikiwa kesi na hawa policcm sina hamu nao kabisa.Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.
Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report ili niende stationery ku print. Yule polisi mhusika akanidai TZS 5,000 ilihali huduma ni bure ukishalipia ile TZS 500 kwa control number. Tangu siku ile (na matukio mengine kwa nyakati tofauti tofauti) polisi nawachukulia ni watu wa hovyo hovyo na nawashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama polisi wa nchi hii, kama bwana Zero anavyomchukulia Hamza kuwa ni mtu wa hovyo hovyo na kuwashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama Hamza.
Ushauri:
Serikali kwa upande Wake, inapaswa kuipa thamani stahili idara ya polisi kwa kuwaajiri watu wenye elimu nzuri na utimamu wa akili na siyo miguvu tu bila akili ( power without knowledge is globally agreed to be useless). Kuna maelfu ya graduates wanazitaka hizo kazi nawana uwezo mzuri tu.
Serikali wapeni graduates kozi ya JKT angalau ya miezi mitatu Kisha muwapeleke shule ya polisi, muone mapinduzi chanya katika idara hii muhimu iliyoigeuza taswira ya Tazanzania kuwa Taifa la walalamikaji kando na wao kuishi maisha ya kihayawani.
Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.

Kenge hasikii Hadi damu zimtoke maskioni. . Which will be too late

Nilisha bambikiwa kesi na hawa policcm sina hamu nao kabisa.
Policeccm ni watu wa hovyo toka wanazaliwa,baba zao walizaa watoto wa hovyohovyoMara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.
Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report ili niende stationery ku print. Yule polisi mhusika akanidai TZS 5,000 ilihali huduma ni bure ukishalipia ile TZS 500 kwa control number. Tangu siku ile (na matukio mengine kwa nyakati tofauti tofauti) polisi nawachukulia ni watu wa hovyo hovyo na nawashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama polisi wa nchi hii, kama bwana Zero anavyomchukulia Hamza kuwa ni mtu wa hovyo hovyo na kuwashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama Hamza.
Ushauri:
Serikali kwa upande Wake, inapaswa kuipa thamani stahili idara ya polisi kwa kuwaajiri watu wenye elimu nzuri na utimamu wa akili na siyo miguvu tu bila akili ( power without knowledge is globally agreed to be useless). Kuna maelfu ya graduates wanazitaka hizo kazi nawana uwezo mzuri tu.
Serikali wapeni graduates kozi ya JKT angalau ya miezi mitatu Kisha muwapeleke shule ya polisi, muone mapinduzi chanya katika idara hii muhimu iliyoigeuza taswira ya Tazanzania kuwa Taifa la walalamikaji kando na wao kuishi maisha ya kihayawani.
Graduates wa kwanza kufikiriwa wawe wa sheria. Polisi wetu wengi hawana msingi wa sheria. Polisi bila sheria amani hakuna. Nilishangaa kuambiwa hata IGP aliopo kitaaluma ni mwalimu, nilichoka!Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.
Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report ili niende stationery ku print. Yule polisi mhusika akanidai TZS 5,000 ilihali huduma ni bure ukishalipia ile TZS 500 kwa control number. Tangu siku ile (na matukio mengine kwa nyakati tofauti tofauti) polisi nawachukulia ni watu wa hovyo hovyo na nawashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama polisi wa nchi hii, kama bwana Zero anavyomchukulia Hamza kuwa ni mtu wa hovyo hovyo na kuwashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama Hamza.
Ushauri:
Serikali kwa upande Wake, inapaswa kuipa thamani stahili idara ya polisi kwa kuwaajiri watu wenye elimu nzuri na utimamu wa akili na siyo miguvu tu bila akili ( power without knowledge is globally agreed to be useless). Kuna maelfu ya graduates wanazitaka hizo kazi nawana uwezo mzuri tu.
Serikali wapeni graduates kozi ya JKT angalau ya miezi mitatu Kisha muwapeleke shule ya polisi, muone mapinduzi chanya katika idara hii muhimu iliyoigeuza taswira ya Tazanzania kuwa Taifa la walalamikaji kando na wao kuishi maisha ya kihayawani.
Ni mkakati wa ccm.Mkuu umewaza mbali sana, CCM sio wajinga wawapeleke graduates shule ya polisi. graduates yupi atakubali kusimamia wizi WA kura au kukimbia na box la kura? So kupeleka wenye elimu ndogo ndio Namna ya chama tawala kupata kundi la kukilinda.