Ushauri wa bure kwa NILHAM RASHED

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
Nilham wangu usisikilize majungu najua wengi watakumezea mate lakini mie sijali unakumbuka ahadi yetu?
 

father-xmas

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
530
0
Nilham ni picha yake halisi/ya ukweli...unavyomuona ndivyo alivyo..well,yeye ndio kasema hivyo!
ndio yupi huyo..............!
nahitaji kumuona isee..............!
sisi ndio vijana wenzake tunaoweza kumpa ushauri zaidi..............!
 
Top Bottom