Ushauri wa bure kwa NILHAM RASHED

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
170
Shosti nakushauri umtafute first lady na lady n wakupe kicheni pati kidogo kuhusu mambo yanavyokwenda humu jf. Maana naona midume mingi inakumezea mate kwa jinsi ulivyo mzuri. Kabla hujafanya shotilisti ni vizuri ukashauriana na hao kwani wenzio na kauzoefu na wanawafahamu vizuri wanaume wa humu jf.
Raha jipe mwenyewe na matatizo wakupe wenzio, naomba nimwemo katika shotilisti yako, tena niweke namba moja, sifa ninazo.
 
teh teh...babamtu bana...,
ushauri mzuri lakini....!
...hata mie nikahisi asije akaangukia kny mikono ya mainfiii ya humu..
i felt like protecting her..
cute,young and descent....be blessed Nilham
 
hahah..... when a readers falls for the book cover!!!

Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars
 
hahah..... when a readers falls for the book cover!!!

Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars

Nilham ni picha yake halisi/ya ukweli...unavyomuona ndivyo alivyo..well,yeye ndio kasema hivyo!
 
Nilham ni picha yake halisi/ya ukweli...unavyomuona ndivyo alivyo..well,yeye ndio kasema hivyo!
na wewe hiyo ni yako kabisa?

kama ndiyo basi mie nimekupenda wewe, yule hakufikii hata ncha ya ukucha...mtoto sura angavu, kipilipili umekitia nakshi, smile swafi kabisa aisee

waonaje mie ndo nshakuzimikia gafla na hapa nilipo ndo naelekea ICU kabisaaa kupata mtungi wa oksijen
 
what doesn't kill you makes you stronger :p

Elimu haina mwisho, hata hapa JF nipo katika kusoma na kujifunza.
umeanza sasa... hayo ya kill yanatoka wapi?? mie kakako nina killing phobia

Hata mie hiyo avatar ni mimi wa ukweli
 
Acid

Nimempenda huyo mchuchu kwenye Avatar yako.......cute lakini ana mkorogo mbona au mzungu? lol
 
Acid

Nimempenda huyo mchuchu kwenye Avatar yako.......cute lakini ana mkorogo mbona au mzungu? lol
he... kumbe wapwaz hawajakwambia... Mie nimeoa mzungu aisee

Naenda 8 years early next years
 
hahah..... when a readers falls for the book cover!!!

Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars

Baelezee shauri yao
 
Kwa ukweli wa mambo yalivyo, msidanganyike na maavatar, wengine hapa ukiwajua, huta aaaaamin!!!!!!!, Kwani ungejua alacho nyuki usine-onja ASALI!!!!!
 
teh teh...babamtu bana...,
ushauri mzuri lakini....!
...hata mie nikahisi asije akaangukia kny mikono ya mainfiii ya humu..
i felt like protecting her..
cute,young and descent....be blessed Nilham

mmeshachelewa watu washagonga muda tu...
 
hahah..... when a readers falls for the book cover!!!

Siku ikatokea tuwepe misura yetu ya ukweli humu, mtu unaweza kujisaidia kwa mshtuko wallahi!!! mingine midume humo ndani ya avatars

Baelezee!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom