Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Kwa hio wadau mnalipwa shs ngapi baada ya kupata ajira na sisi tujue mwelekeo
 
hizi ngoma zinapitia hazina baba,,tegemea kulipwa TGS D ambayo ni sawa na gross ya 710000/=,muundo umebadilishwa toka 1st July 2017.
Hujui kitu, kaa kimya. Mwaka wa pili huu nakula mshahara huo niloutaja na zaidi sana. Mi allowance kama yote, na bado mazuri zaidi yanakuja soon.
 
Jamani mlokua mnatuponda vipi hali yenu? Mnaendeleaje huko kwenye intern nakadhalika? Huku maisha ni mazuri tayari tuna magari na wengine tuna majumba pia na huo ni mwaka mmoja na nusu tu. hahahahahahaaa life is GUCCI na hela ipo nyiiingiii tu ila ufanye kazi yako kwa ufanisi na uaminifu bata tunakula kwa sana na sasa pesa sio priority tena tunaangalia welfare nyingine.
 
yani we kupata kazi tra unaona nongwa sana, mbona wenzako tupo kimya, si ukaushe tu, inakusaidia nini kuwakebehi ambao hawajapata!

thanks to god the almighty
 
Sitaki kuusemea mchakato ulivyoendeshwa sababu hata sijui hizi kazi zilitangazwa lini. Ila nachotaka kuwashauri ni muwe wavumilivu. TRA huwa inachukua watu kwa batches.

So hii ni batch ya kwanza na inawezekana kukawa na batches kama mbili au tatu, hivyo msikate Tamaa. Kuweni wavumilivu kidogo.

Ni hayo tu

NB: TRA kimaslahi ni pa kawaida sana, hata bank teller wa CRDB bank kamuacha mbali sana officer wa TRA, jina lisiwatishe.
Hawa jamaa wana mishahara midogo Sana ila ukifanya 2yrs ushajenga na kuhamia kwako tayari
 
H
Duuh! TRA hakuna TGS Kijana Wana Scale zao Acha Kukariri Mimi Nimeongea Na Jamaa yangu ambaye aliingia Mwaka 2016 na Akaniambia Walianza na 1.2Million Leo 2017 mnaweza Mkaanza na 1.3million scale nyingi zimeongezwa Pesa Tunaweza Tukaanza hata na 1.35Million na Siyo 1.2 ya 2016 Acha kufananisha NSSF, Bandari, TRA, TANROADS, TEMESA, TBA, BOT na Halmashauri hakuna Scale Inaitwa TGS kule
Hapana TRA hawana mishahara hiyo umedanganywa, Wana mishahara ya kawaida Sana, Ila ukipata kazi hapo 2yrs ushajenga na kuhamia kwako
 
Waalimu wanaanza na 716,000
TRA wanaanza Na Sh. 1.2 Milion + Transport allowance sh. 84,000 na housing Allowance sh.96,000 Siyo Hela ndogo kwa Mimi Ambaye sijaoa na sina hata Mchumba labda nimpate kesho wakati wa Kuchukua Barua.

Hii Si tetesi Kuna vijana wa DSM ile wakati wanasoma chuo cha Kodi kwa Miezi 12 wanatokea Home wameweza Kununua Viwanja

Kuna SACCOS ya TRA Kubwa sana Ina Offer Mikopo ya riba ndogo.
Uongo hawana mishahara hii TRA acheni kudanganyana sema ukiajiriwa nenda 2yrs ushamiliki gari na nyumba
 
Jamani mlokua mnatuponda vipi hali yenu? Mnaendeleaje huko kwenye intern nakadhalika? Huku maisha ni mazuri tayari tuna magari na wengine tuna majumba pia na huo ni mwaka mmoja na nusu tu. hahahahahahaaa life is GUCCI na hela ipo nyiiingiii tu ila ufanye kazi yako kwa ufanisi na uaminifu bata tunakula kwa sana na sasa pesa sio priority tena tunaangalia welfare nyingine.
Mkuu uko TRA hiihii tunayoifanyia kazi au nyingine?
 
Jamani mlokua mnatuponda vipi hali yenu? Mnaendeleaje huko kwenye intern nakadhalika? Huku maisha ni mazuri tayari tuna magari na wengine tuna majumba pia na huo ni mwaka mmoja na nusu tu. hahahahahahaaa life is GUCCI na hela ipo nyiiingiii tu ila ufanye kazi yako kwa ufanisi na uaminifu bata tunakula kwa sana na sasa pesa sio priority tena tunaangalia welfare nyingine.
Dogo ..learn how to take a chill pill..ndo utajifunza kwan kwanini bakhresa na more dewji wanaongelea kusaidia masikini tu...my point be humble..unachopata unaweza hisi umemaliza kama unaishi kisiwani pekeyako.....ila tu simply nkuweke sawa TRA mnapumulia mashine sasa endelea na dili zako ujue kweli magu sio chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue bado namshangaa Yuko TRA ya mbingu ipi?
Halafu bado utoto unamsumbua
 
Jamani mlokua mnatuponda vipi hali yenu? Mnaendeleaje huko kwenye intern nakadhalika? Huku maisha ni mazuri tayari tuna magari na wengine tuna majumba pia na huo ni mwaka mmoja na nusu tu. hahahahahahaaa life is GUCCI na hela ipo nyiiingiii tu ila ufanye kazi yako kwa ufanisi na uaminifu bata tunakula kwa sana na sasa pesa sio priority tena tunaangalia welfare nyingine.
tra hii hii mnayolipwa 960k kabla ya makato?
 
Dogo ..learn how to take a chill pill..ndo utajifunza kwan kwanini bakhresa na more dewji wanaongelea kusaidia masikini tu...my point be humble..unachopata unaweza hisi umemaliza kama unaishi kisiwani pekeyako.....ila tu simply nkuweke sawa TRA mnapumulia mashine sasa endelea na dili zako ujue kweli magu sio chai

Sent using Jamii Forums mobile app
Hihihihiiiii kila mtu na ale shambani kwake. Kuhusu kupumulia mashine sijui unaongelea TRA au TRB, Ila huku niliko ndo kama ulivyosikia.
 
Back
Top Bottom