Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,404
Kweli maskini akipata........, Na ushamba ni mzigo mkubwa sanaSasa nikusaidieje? Mimi nafanya kinachonipa furaha, unachofikiria ni juu yako.
Kweli maskini akipata........, Na ushamba ni mzigo mkubwa sanaSasa nikusaidieje? Mimi nafanya kinachonipa furaha, unachofikiria ni juu yako.
grow up brother, maisha haya usimcheke ambaye amekosa kaziWewe inakusumbua nini?
Sijamcheka mtu lakini bro.grow up brother, maisha haya usimcheke ambaye amekosa kazi
thanks to god the almighty
Ndo nimeshapata hivyo jamaa, pambana na hali na wewe upate.Kweli maskini akipata........, Na ushamba ni mzigo mkubwa sana
Mkuu Mimi niko huku hata kabla yako, na siamini Kama uko huku...hakuna mtumishi mwenye uono kama wako, yawezekana uko kitaa tuNdo nimeshapata hivyo jamaa, pambana na hali na wewe upate.
Hihihiiii mwenyewe nina mashaka kama uko huku.Mkuu Mimi niko huku hata kabla yako, na siamini Kama uko huku...hakuna mtumishi mwenye uono kama wako, yawezekana uko kitaa tu
kweli mkuu, miongoni mwa watu mliochangia mm kupata hii job ni wewe, nakumbuka nilileta post humu walivyotangaza tu july 2017, ukanishauri nisome kweli kweli acts zote na related articles za kodiAdd Transport Allowance
Add Housing Allowance
Unataka nikujibuje?barua ya confirmation umepata mkuu?
..............Maskini akipata mætækô hulia mbwata....mbwaa mbwaa mbwaa....mbwataa!!!Jamani mlokua mnatuponda vipi hali yenu? Mnaendeleaje huko kwenye intern nakadhalika? Huku maisha ni mazuri tayari tuna magari na wengine tuna majumba pia na huo ni mwaka mmoja na nusu tu. hahahahahahaaa life is GUCCI na hela ipo nyiiingiii tu ila ufanye kazi yako kwa ufanisi na uaminifu bata tunakula kwa sana na sasa pesa sio priority tena tunaangalia welfare nyingine.
Duh! Kumbe kama Halmashauri!960,000= 48,000
960,000-48,000=912,000
912,000-155,700=756,500
756,500 + 96,000+86,000=936,300 hivi
Sh.936,300 Si ndogo
kweli mkuu, miongoni mwa watu mliochangia mm kupata hii job ni wewe, nakumbuka nilileta post humu walivyotangaza tu july 2017, ukanishauri nisome kweli kweli acts zote na related articles za kodi
thanks to god the almighty
Acts gani hizo?
Unanidai? Nakula kwako? Pambana kijana paambaanaaa...............Maskini akipata mætækô hulia mbwata....mbwaa mbwaa mbwaa....mbwataa!!!
Huu ni ujinga,unajisifia kumiliki nyumba sijui gari ya mkopo na wale wenye navyo na hawadaiwi wasemeje?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Si ushangae, unangoja nini sasa?nilitaka nishangae serikali inacomfirm vipi mtu wa hovyo kama wewe..