Kwahiyo ukiwa na mshahara mdogo huruhusiwi kumiliki mali?Sa Magari 16 utaacha kwenda gerezani wakati mshahara ni 1.2mio?
Mkuu umeongea fact,sasa hivi janja janja hakuna vitengo karibu vya serikalini!!wasiwe na over expectations..aisee they will be dissapointed,mwisho ni segereaHV unadhani kam sio dili za tra watu wangekuwa wanapakimbilia? Kwa taarifa yako ingekuwa ni mshahara tu watu wangepapa kisogo kitaambo coz had I ufikie mshahara Wa 4m tra ujue ulishafnya kazi sio chini ya miaka kumi na tano...wakati kwenye taasisi binafsi kibao Huo ni mshahara Wa kawaida kbsa.ajabu mtu kma custom officer Wa tra kipindi cha jk anamiliki nyumba ya mil200, Mshahara 1mio.Saiv ukimiliki Mali zisizoendana na mshahara wako jiandae kwenda kumalizia life segerea.ukitaka proof ya hali ilivyo subiri utakapojoin then utarudi hapa utwambie nini umekuta...Chapa kazi bila expectations zozote za kupiga dili Huo ndo ushauri wangu
This is so wrong, bank nyingi contract zake ni temporary..1year renewable!crdb penyewe kupata permanent sio masiharaBank nyingi mkataba ni permanent mkuu
Kazi rahisi sana.Unaruhusiwa kumiliki Mali Tena hata zaidi ya hayo Magari 16 lakini lazima u-justify kipato chako na hzo Mali kama vinaendana..
Mkuu integrity ni kila kitu huwezi kumiliki magari 16 kwa salary hio kabisa.Sa Magari 16 utaacha kwenda gerezani wakati mshahara ni 1.2mio?
Tena ukiwakuta walivyo na mbwembwe sasa. Hahahahahahha mimi nawacheki tu na ulimbukeni wao. Kuna watu haa mjini wanapiga hela si mchezo jombaaa.Kumbe afisa wa TRA anazidiwa mpunga na intern Pharmacist...daah
Tena wana kazi kweli. Yaani wanabishania 1.1M, 1.2 M, na kuendelea?? hata 2M haifiki. hahahahhahahaha safari ni ndefu sana. hizo ni dollar zisizozidi 500 kwa kweli. Hivi wataweza hawa kwenda holiday hata hapo SA tu?? kazi ipoHahahahaa....waajiriwa mna kazi kweli ......raha sana ukiwa na business zako .....mjitume sasa
Financial status??? hiyo ni individual mentality tu kaka. kuna yule anaependa magari na yule anaependa wanyama, na mwengine anapenda mashamba. Kuna yule anaependa show offs na yule asiyefagilia hivyo vitujiulize kwanini financial status zenu zinatofautiana wakati mshahara wako ni mkubwa?? vingine uwe unajiongeza mkuu.
Tena ukiwakuta walivyo na mbwembwe sasa. Hahahahahahha mimi nawacheki tu na ulimbukeni wao. Kuna watu haa mjini wanapiga hela si mchezo jombaaa.
Hahahaaa mmejaa wivu, bila shaka na nyie ni miongoni mwa walokosa so mnajifariji kwa namna hiyo, kama pangekua hapana maslahi basi watu wasingekua wanapalilia na kujutia kupakosa. Acheni wivu.Tena wana kazi kweli. Yaani wanabishania 1.1M, 1.2 M, na kuendelea?? hata 2M haifiki. hahahahhahahaha safari ni ndefu sana. hizo ni dollar zisizozidi 500 kwa kweli. Hivi wataweza hawa kwenda holiday hata hapo SA tu?? kazi ipo
Mkuu mbona ni rahisi sana kujua financia status ya mtu? Hujui tofauti yako wewe na Bill Gates?? Hicho ndo nakimaanisha hapa.Financial status??? hiyo ni individual mentality tu kaka. kuna yule anaependa magari na yule anaependa wanyama, na mwengine anapenda mashamba. Kuna yule anaependa show offs na yule asiyefagilia hivyo vitu
DTB ni permanent. Halafu haya mabenki given kila mwaka wanapata bonuses.This is so wrong, bank nyingi contract zake ni temporary..1year renewable!crdb penyewe kupata permanent sio masihara
Mkuu wivu??? please stop kidding broo hahahahahhahahahahha! fake ID's is all I can say......Hahahaaa mmejaa wivu, bila shaka na nyie ni miongoni mwa walokosa so mnajifariji kwa namna hiyo, kama pangekua hapana maslahi basi watu wasingekua wanapalilia na kujutia kupakosa. Acheni wivu.
Arbabu huo mfano mbona sio mzuri hapa! utofauti wangu sio mimi tu na bill gates, Bakhrassa na Bill gates mkuu. Hata mifano inatakiwa iendane mkuuMkuu mbona ni rahisi sana kujua financia status ya mtu? Hujui tofauti yako wewe na Bill Gates?? Hicho ndo nakimaanisha hapa.
Naona umeelewa somo, wewe inaonekana ulikua mwanafunzi mzuri sana darasani.Arbabu huo mfano mbona sio mzuri hapa! utofauti wangu sio mimi tu na bill gates, Bakhrassa na Bill gates mkuu. Hata mifano inatakiwa iendane mkuu
Kwanini sasa upoteze muda wako kuwapondea waliopata kazi TRA?? Kuna gap hapo umepigwa.Mkuu wivu??? please stop kidding broo hahahahahhahahahahha! fake ID's is all I can say......
Kweli goverment hamna pesa.Tena wana kazi kweli. Yaani wanabishania 1.1M, 1.2 M, na kuendelea?? hata 2M haifiki. hahahahhahahaha safari ni ndefu sana. hizo ni dollar zisizozidi 500 kwa kweli. Hivi wataweza hawa kwenda holiday hata hapo SA tu?? kazi ipo
Mimi nilikuwa miongoni mwa vilaza darasani mkuuNaona umeelewa somo, wewe inaonekana ulikua mwanafunzi mzuri sana darasani.
Usijali mkuu, kuwa kilaza sio kosa kisheria.Mimi nilikuwa miongoni mwa vilaza darasani mkuu