laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
kwa hiyo malupulupu unamaanisha rushwa? siku hiz watu wameelimika hakuna rushwa boda labda uwe mtu wa uhamiaji unaweza kupata diliniliko naona kila kitu mishahara ni ile ile ya utumishi wa umma sema malupu lupu ndio mengi hasa ukiwa boda huko si unajua mambo ya mpakani janja janja nyingi hukosi ya ku brashia viatu