Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Yanini tuandikie mate, mkishapewa barua zenu msisite kurudi jamvini kutupa mrejesho
 
Mpaka sasa hivi hizo barua za placement zimeonesha kua muajiri ni kamishna wa TRA..ngoja baada ya kuripoti itajulikana...
 
Kama unauelewa mzuri wa kilichoandikwa kwenye hio barua inaonesha utumishi kazi yao ilikua ni kusaili tu
 
Ila anakuzidi wewe mshahara, pambana na hali yako acha wivu wa kike.

So na mimi being intern Pharmacist basi namzidi afsa wa tra ...hakuna wivu hapo mjomba

Nilijua tra wanalipwa milioni tatu huko
 
Hivi jamaa wa Tanzania Investment Centre maslahi yao yapoje kam wafahamu, sorry niko nje ya mada lkn naombwa kujuzwa
Hawa walikua vizuri enzi za JK saizi wanakufa njaa tu kipindi kile ilikua safari nje nje
 
Na barua imeandikwa mwajiri atumie sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 na 2003 hamna sehemu imeandikwa 2017[emoji56]
ngoja na me kesho nkaichukue nijionee..kwani shera ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 ilikua inasemaje mkuu?
 
Upo sector gani Dada? Vipi TRA mishahara yao?
niliko naona kila kitu mishahara ni ile ile ya utumishi wa umma sema malupu lupu ndio mengi hasa ukiwa boda huko si unajua mambo ya mpakani janja janja nyingi hukosi ya ku brashia viatu
 
Hahahahaa....waajiriwa mna kazi kweli ......raha sana ukiwa na business zako .....mjitume sasa
 
Ha ha ha..adabu ninayo way back ila leo ndio nimegundua kuwa maafsa wa tra nao ni kama sisi tu mifukoni
jiulize kwanini financial status zenu zinatofautiana wakati mshahara wako ni mkubwa?? vingine uwe unajiongeza mkuu.
 
jiulize kwanini financial status zenu zinatofautiana wakati mshahara wako ni mkubwa?? vingine uwe unajiongeza mkuu.
TRA madili yalikuwa zamani sasa hivi hakuna tena hata pesa ya kodi wanayopangiwa malengo kuifikisha kwa mwezi haifiki kiukweli sasa hivi wafanyakazi wa TRA stress tupu ukijulikana umechukua rushwa hata buku kazi huna
 
Back
Top Bottom