Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Duuh! TRA hakuna TGS Kijana Wana Scale zao Acha Kukariri Mimi Nimeongea Na Jamaa yangu ambaye aliingia Mwaka 2016 na Akaniambia Walianza na 1.2Million Leo 2017 mnaweza Mkaanza na 1.3million scale nyingi zimeongezwa Pesa Tunaweza Tukaanza hata na 1.35Million na Siyo 1.2 ya 2016 Acha kufananisha NSSF, Bandari, TRA, TANROADS, TEMESA, TBA, BOT na Halmashauri hakuna Scale Inaitwa TGS kule

tatizo ni kuwa Umepitia Utumishi ko unalipwa moja kwa moja Hazina, jaribu kuelewa basi
 
Kaka naona una over expectation, nani amekudanganya? umepitia utumishi nani akakupe 1.2? utalipwa mshahara kwa TGS USIOZID 950,000/=
mkuu,sorry naomba kukuuliza,hivi kumbe kuajiriwa serikalini kupitia utumishi salary nayo inakua ndogo?me nilidhani utumishi wenyewe kazi Yao ni recruitment tu?
 
Duuh! TRA hakuna TGS Kijana Wana Scale zao Acha Kukariri Mimi Nimeongea Na Jamaa yangu ambaye aliingia Mwaka 2016 na Akaniambia Walianza na 1.2Million Leo 2017 mnaweza Mkaanza na 1.3million scale nyingi zimeongezwa Pesa Tunaweza Tukaanza hata na 1.35Million na Siyo 1.2 ya 2016 Acha kufananisha NSSF, Bandari, TRA, TANROADS, TEMESA, TBA, BOT na Halmashauri hakuna Scale Inaitwa TGS kule
kuna jamaa humu kanitumia salary slip yake,take home ni kama laki 850k hivi..gross ni 1050000 ila pia naskia tra kumefanyika mabadiliko ya kimuundo,ndio maana hizi nafasi zimetoka kwa majina kama tax officer ii,custom officer ii ambavyo ndio muundo rasmi wa vyeo vya utumishi..zamani hivo vyeo vilikua vinaitwa assistant tax officer, assistant custom officer etc..so jamaa anachokisema inaweza kuwa na ukweli..na pia uwezekano wa salary kuanza kulipwa kwaTGS ni mkubwa coz saivi serikali imeweka utaratibu wa kuwalipa watumishi wake wote flat rate.
 
Kama wanalipa kwa TGS mbona kwenye tangazo la kazi wameandika salary ni according to TRA salary scale? pili hivi unajua kati ya assistant customs officer na customs officer mwenye cheo ni huyo asiye na assistant? kama umetumiwa salary slip screenshot hio salary slip attach humu ila ficha identity yake tuone kama ni kweli ila nahisi umefanya kazi sehemu ambazo kimsingi hakuna career growth
 
Ukiwa na gross ya 1,005,000 take home yake ni 742,000, ukiwa na gross ya 1,180,000 take home ni around 850,000-870,000 upo hapo embu weka hio salary slip tumalize ubishi
 
Net/take home ni 960,000. Sasa jiulizeni gross itakua sh ngapi (huyo ni aliyeajiriwa mwaka jana na alikua na mkopo wa HESLB)
 
mkuu,sorry naomba kukuuliza,hivi kumbe kuajiriwa serikalini kupitia utumishi salary nayo inakua ndogo?me nilidhani utumishi wenyewe kazi Yao ni recruitment tu?
ulidhani utalipwa mamilion eeeh?
 
Net/take home ni 960,000. Sasa jiulizeni gross itakua sh ngapi (huyo ni aliyeajiriwa mwaka jana na alikua na mkopo wa HESLB)
hizi ngoma zinapitia hazina baba,,tegemea kulipwa TGS D ambayo ni sawa na gross ya 710000/=,muundo umebadilishwa toka 1st July 2017.
 
kuna jamaa humu kanitumia salary slip yake,take home ni kama laki 850k hivi..gross ni 1050000 ila pia naskia tra kumefanyika mabadiliko ya kimuundo,ndio maana hizi nafasi zimetoka kwa majina kama tax officer ii,custom officer ii ambavyo ndio muundo rasmi wa vyeo vya utumishi..zamani hivo vyeo vilikua vinaitwa assistant tax officer, assistant custom officer etc..so jamaa anachokisema inaweza kuwa na ukweli..na pia uwezekano wa salary kuanza kulipwa kwaTGS ni mkubwa coz saivi serikali imeweka utaratibu wa kuwalipa watumishi wake wote flat rate.
hakuna mshahara kama huo tra kwa entry levels zote zitakazoajiriwa kuanzia 1st july 2017,Tegemea 710k
 
acha kuandika story za kuambiwa...nifuate PM nikuonyeshe salary slip ya mtu kama hujazimia
Hivi jamaa wa Tanzania Investment Centre maslahi yao yapoje kam wafahamu, sorry niko nje ya mada lkn naombwa kujuzwa
 
hizi ngoma zinapitia hazina baba,,tegemea kulipwa TGS D ambayo ni sawa na gross ya 710000/=,muundo umebadilishwa toka 1st July 2017.
Sasa kwani ni kitu gani special kinachofanya hio hazina iwe tofauti? maana kila organization si ina structure zake maana hazina si ni kama centralized payout system? kwani mshahara unaotoka hazina na usio toka hazina tofauti ipo wapi? ila kesho itajulikana mbivu na mbichi
 
hizi ngoma zinapitia hazina baba,,tegemea kulipwa TGS D ambayo ni sawa na gross ya 710000/=,muundo umebadilishwa toka 1st July 2017.
Danganya mapoyoyo, na wachache wasiojua wala kutaka kufuatilia mambo. We jamaa ni mweupe ajabu.😀😀😀
 
Waalimu wanaanza na 716,000
TRA wanaanza Na Sh. 1.2 Milion + Transport allowance sh. 84,000 na housing Allowance sh.96,000 Siyo Hela ndogo kwa Mimi Ambaye sijaoa na sina hata Mchumba labda nimpate kesho wakati wa Kuchukua Barua.

Hii Si tetesi Kuna vijana wa DSM ile wakati wanasoma chuo cha Kodi kwa Miezi 12 wanatokea Home wameweza Kununua Viwanja

Kuna SACCOS ya TRA Kubwa sana Ina Offer Mikopo ya riba ndogo.
we jamaa toka upate hii kazi unasumbua....mtumish wa uma ukimpata huyo mwanamke utamrarua sana
 
Ushauri wako `unatia moyo kwelikweli' ila kuweni wavumilivu tu sababu kesho inaweza kuwa zamu yako. Kuhusu maslahi nadhani hilo lipo wazi kwa hata mtoto mdogo na ndio maana mlikua mnapakimbilia.
british tas na tax compliant mnasumbua jaman daaaah...mtaani watawakoma mwaka huu
 
TRA ni Semi Automous Haipangiwi mshara
IMG_20171025_021200_408.jpg
 
Back
Top Bottom