Ushauri wa bure kwa mliochaguliwa udsm.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
1}shule ya pale sio ngumu,ila walimu wako complicated sana,unaweza ukaingia na dv 1.3 ukatoka na GPA ya 2.1,so usiende kubweteka,ukajisahau ukawa hupitii madesa,tenga angalau muda wa masaa manne kila cku kujisomea ili uwe kwenye position nzuri ya kujibu mitihani.
2}hukatazwi kuwa na boy/gal friend,ila nakushauri kuwa nae mmoja anae eleweka na sio kuwapanga ukidhani ni sifa.na vile vile ckushauri kuwa na gal/boy ambae atakua wa kukupa headache kila cku,chagua mtu aliyetulia na anaejiheshmu.
3}kama kuna mambo ambayo hukuwahi kuyafanya ktk maisha yako mfano kwenda night club,usisubutu kuyaiga huko chuo,yatakucost.
4}ukipata bumu,epuka matumizi yasiyokuwa ya lazima,mfano kununua cmu kali as we ni meneja wa kampuni flani,unaweza ukawa na cmu yako ya kawaida 2 kama nokia tochi na maisha yakaenda otherwise jiandae kupiga code 001.
5}jali muda wako uwapo chuoni,sio kutwa ni kudhurura 2 kule mliman city au kwa wale wakaka wao muda wote wamekaa pale nje ya library wanaangalia wasichana wanaoingia na kutoka.
6}kama unaishi mabibo hostels,asubuh ukiwa unaenda chuo panda gari,ila jioni ukiwa unarudi piga shato pori ili kubana matumizi.
Vinginevyo,nawatakieni kila la kheri ktk masomo yenu.
 
Aksante kaka kwa ushauri wako.
Kama vp naomba uwe mshaur wangu wa kitaaluma kwan mi ndo naenda kuanza 1st yr
my email(thephilosophere@yahoo.com
kama vp ntupie ya kwako mkuu
by Emma
 
Ninashukuru Sana Ndugu Yangu Kwa Huo Moyo Wako.nakunoma Unieleze,nifanye Nini Ili Nije Kupasua Zaidi Hapo Chuo?na Unasemaje Kuhusu Koz Yangu?nipechaguliwa Mascom!
 
Thanx braza,pamoja sana ingawa siku hizi umeadimika sana humu
 
thanx bro... bt naomba unishauri!mimi nachukua civil engineerin na nimepanga strit,wil dat affect me?
 
1}shule ya pale sio ngumu,ila walimu wako complicated sana,unaweza ukaingia na dv 1.3 ukatoka na GPA ya 2.1,so usiende kubweteka,ukajisahau ukawa hupitii madesa,tenga angalau muda wa masaa manne kila cku kujisomea ili uwe kwenye position nzuri ya kujibu mitihani.
2}hukatazwi kuwa na boy/gal friend,ila nakushauri kuwa nae mmoja anae eleweka na sio kuwapanga ukidhani ni sifa.na vile vile ckushauri kuwa na gal/boy ambae atakua wa kukupa headache kila cku,chagua mtu aliyetulia na anaejiheshmu.
3}kama kuna mambo ambayo hukuwahi kuyafanya ktk maisha yako mfano kwenda night club,usisubutu kuyaiga huko chuo,yatakucost.
4}ukipata bumu,epuka matumizi yasiyokuwa ya lazima,mfano kununua cmu kali as we ni meneja wa kampuni flani,unaweza ukawa na cmu yako ya kawaida 2 kama nokia tochi na maisha yakaenda otherwise jiandae kupiga code 001.
5}jali muda wako uwapo chuoni,sio kutwa ni kudhurura 2 kule mliman city au kwa wale wakaka wao muda wote wamekaa pale nje ya library wanaangalia wasichana wanaoingia na kutoka.
6}kama unaishi mabibo hostels,asubuh ukiwa unaenda chuo panda gari,ila jioni ukiwa unarudi piga shato pori ili kubana matumizi.
Vinginevyo,nawatakieni kila la kheri ktk masomo yenu.
watu kama ninyi mnafaa sana,,,,big up
 
kaka Ubarikiwe sana Ushauri uliotoa niwa Msingi sana kwa Mtu yeyote anayekwenda chuo chochote sio Udsm peke yake iwe ni Sua,Udom,Saut au chuo chochote kile ni muhimu tuzingatie ushauri huu wa Bure tuliopewa.Hiyo point ya kwanza na ya pili naona zimenivutia zaidi.GRADUATE WITH "A" NOT WITH ............
 
Back
Top Bottom