Ushauri wa bure kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nzi, Sep 25, 2011.

 1. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,528
  Trophy Points: 280
  Salaam wanaJF!

  Jambo nitakalolizungumzia si mara ya kwanza kwa jambo hili kusemwa humu JF na wadau mbalimbali. CHADEMA, kama chama kinachozidi kukua na kupata umaarufu hapa TZ, kinapaswa kianze kujiweka katika mazingira ya chama maarufu na kinachokubalika kweli.
  Mazingira haya ninayoyasema yamejikita katika suala la ofisi za chama zenye hadhi ya CHADEMA ya sasa na ya badae (kama chama tawala). Kwa kweli ofisi za chama, tena hata za mkoa bado hazina hadhi ya CHADEMA. Mfano, ofisi ya chama pale mkoani Dodoma, ni aibu kwa chama. Si vyema CHADEMA kuwa na ofisi kama ile, kwanza ipo ndani ya kijichumba kimoja (kama frame za maduka kwenye stand za mabasi au za biashara); hakuna office stationary; hakuna hata secretary zaidi ya jamaa mmoja ambae ndie uwa anakaa pale. Pia ofisi za makao makuu nazo zimeshaongelewa sana na wadau; nazo hazina hadhi ya chama kwa sasa.
  Hapa chama kinabidi kifanye jitihada kweli; hata kama ni kwa kuomba michango toka kwa wanachama, wapenzi na wakereketwa chama kifanye, ili 2015 chama kiwe angalau na ofisi nzuri katika miji mikubwa hapa TZ.
  Hili suala chama kinapaswa hisilichukulie kana kwamba ni dogo; muonekano wa kiofisi nao una matter katika masuala ya kisiasa.

  Hivyo mimi ninakishauri chama kifanye jitihada za haraka katika hili. Niko tayari kuchangia kwa ajili ya kufanikinisha zoezi hili.

  NB: Pia uongozi wa chama naomba mjitahidi katika suala la mawasiliano na utoaji wa taarifa mbalimbali za chama; website ya chama imedorora sana. System administrators wajitahidi kuwa active and alive.

  Natumaini viongozi wa chama watasikia ushauri wangu na kuuzingatia.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni ushauri mzuri sana lakini angalau wapambanaji muchukue kadi na muwe mnalipa ada.
  Kwa kufanya hilo itasaidia kutatua matatizo kama hayo ya ofisi.
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,528
  Trophy Points: 280
  Pamoja mkuu..
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Big Up Wapambanaji; ofisi zenye hadhi, kituo cha televisheni na vyombo vya kisasa kimawasiliano pamoja na training kwa maafisa wa kada mbali mbali juu ya technolojia za kimawasiliano ni mamobo ya msingi mara baada ya kutawazwa mbunge wetu mpya wa Igunga.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni ushauri mzuri sana huu naamini utafanyiwa kazi.

  Mkuu tunaomba uwe tayari kutoa support yako kwa ajili ya utekelezaji lakini pia itapendeza kama utachukua na kadi.

  Tuko pamoja sana mkuu.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ni ushauri mzuri sana ni swala la vipambele kumba chama kimetoka kwenye kampeni mwishoni mwa mwaka jana, tegemea chama kuwa na madeni na katika ruzuku nijuavyo mimi huwa wanatoa kulingana jimbo lilivyo patakura lakini kama wenyeji wasehemu husika tukiongozwa la viongozi wetu tukiamua tunaweza kuharakisha badala ya kusubili makao makuu au pesa ya gawio..
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Chadema wako kimaslahi yao zaidi! Hawaangalii future, viongozi wao ni walafi na wana uchu wa madaraka sana.
  Wanatumia hela nyingi sana kwenye maandamano yao na operations mbalimbali ambazo hazina tija!
  Ushauri wako ni mzuri..lakini ni kama umempigia mbuzi gitaa
   
 8. kwempa

  kwempa Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you my fellow citizen. Am pretty sure sister Regina will pass by here to take these ideas. However, let us fight for the country first our personal affairs later. We have nothing to loose except the chains of out stupidity, poverty and ignorance. Fight hard CHADEMA I have seen from the mountain top, 'dawn is near'. Ni hayo tu
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Halafu tunamlipa JOSEPHINE 7.2M kila mwezi! Badala ya kujenga ofisi?
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bado per diem za kila maandamano
   
 11. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujui ulinenalo tunakusamehe Bure.
   
 12. p

  propagandist Member

  #12
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema hakipo kwa ajili ya kufanya siasa ni kampuni ya wachagga waliolenga kugawana ruzuku ya chama, mtapata taabu bure kupanua midomo kama mi..ndu!
   
 13. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Huoni kwamba hizo operations ndizo zinazidi kuwaumbua ninyi CCM.CDM are always strategic,thats why always mtacheza ngoma ya CDM.
   
 14. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  N wewe pia una akili mgando au umejilazimisha kutokuona.Kigoma,mwanza,mara,singida,Dar,mbeya,shinyanga,iringa n.k kuna wachaga huko?.Hatutaki akili zenu na sera zenu za kibaguzi ninyi magamba.
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wafadhili wa Magwanda wamewaambia Chadema wasitumie hata shilingi kujenga ofisi na badala yake hela yote waitumie kuratibu maandamano na kununulia tindikali.
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Your name says is all, Tambwe at his best.
   
 17. N

  NGEDENGE Senior Member

  #17
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauri wa kgmagambamagamba!
   
 18. N

  NGEDENGE Senior Member

  #18
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka evidence la
  cvyo huna maana
   
 19. N

  NGEDENGE Senior Member

  #19
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 20. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mods nini hii????????????????
   
Loading...