Chadema wako kimaslahi yao zaidi! Hawaangalii future, viongozi wao ni walafi na wana uchu wa madaraka sana.
Wanatumia hela nyingi sana kwenye maandamano yao na operations mbalimbali ambazo hazina tija!
Ushauri wako ni mzuri..lakini ni kama umempigia mbuzi gitaa
Mbona huzungumuzii hela wanazotumia viongozi wa ngazi za juu wa CCM kuhonga wake za watu na kufanya uzinzi huko Igunga???