Ushauri wa bure kwa CHADEMA

Ofisi ya nini wakati wako mitaani wanandamana saa zote? Hiki chama ni cha mfukoni tu. Halafu ndio wapewe nchi.
 
huu ni ushauri mzuri, ila watu hatujaelewa hujuma za magamba, ofisi nzuri!! Hapo watasema tunafadhiliwa, pia Resource ziko wapi? Unajua time will tell u.
 
Mliweza kumnunulia nyumba Slaa lakini ofisi inawashinda, mliweza kununua mikangafu ya mbowe lakini kodi ya vyumba viwili dodoma inawashinda. Leo hii mnataka mpewe nchi,si ndio hapo mtamuona Mbowe anapewa Chumba benki kuu.
 
Nyie mnabishana na magammba wa kazi gani jamani; hao wameletwa humu na CCM kuenea propaganda, hata majina yao yanajieleza! Wanapigania matumbo yao. Kusema kweli Suala alilozungumzia mdau hapo juu ni kweli hasaa, tatizo chama hakina fedha za kutosha; kazi iliyopo ni kwetu ss wananchi kusaidia kujenga chama kwa njia ya kujitolea;
 
Nani kasema chama hakina pesa wewe?...ni ulafi tu wa mbowe na wakwe zake ndo kikwazo...hakuna mkombozi wa kweli pale chadema labda shibuda..
 
ni ushauri mzuri sana wakuu nadhani it i just a matter of priorities lakini bila shaka chama kina vichwa vya kutosha so naomba tuwaamini kuwa wanalijua hilo lakini naomba viongozi waupokee ushauri huu.

ma-virus yaliyopo katika thread hii their heads are full of bones!
 
Ni ushauri mzuri sana lakini angalau wapambanaji muchukue kadi na muwe mnalipa ada.
Kwa kufanya hilo itasaidia kutatua matatizo kama hayo ya ofisi.

Kama ulikuwepo! Ila CCM hawajawahi kujenga ofisi kwa michango wala Ada, ofisi zao zote zimejengwa kwa pesa serikali.
 
Huoni kwamba hizo operations ndizo zinazidi kuwaumbua ninyi CCM.CDM are always strategic,thats why always mtacheza ngoma ya CDM.
CDM ingekuwa strategic wasingefanya mambo wanayofanya sana! Wangejikita kwenye kukuza chama..including kuimprove office zao
 
Wafadhili wa Magwanda wamewaambia Chadema wasitumie hata shilingi kujenga ofisi na badala yake hela yote waitumie kuratibu maandamano na kununulia tindikali.
Maneno kama haya hayawezi kushawishi hata kijijini ambako watu hawajawahi kuona mlango wa darasa,sembuse JF?
 
Chadema hakipo kwa ajili ya kufanya siasa ni kampuni ya wachagga waliolenga kugawana ruzuku ya chama, mtapata taabu bure kupanua midomo kama mi..ndu!
wewe acha siasa za ujima, propaganda hiyo ishapitwa na wakati, kwa sasa propaganda dhaifu ya hijab ndo inatumika nayo ndo hiyoo inapitwa na wakati! usitoe hoja kama vile mk*nd* wako haujachambwa!
mk*nd*=singular of mi..ndu in the quoted post
 
By using the power that am vested PROPAGANDIST is banned,burned and detained for ever.
 
vuvuzela at work....



Chadema wako kimaslahi yao zaidi! Hawaangalii future, viongozi wao ni walafi na wana uchu wa madaraka sana.
Wanatumia hela nyingi sana kwenye maandamano yao na operations mbalimbali ambazo hazina tija!
Ushauri wako ni mzuri..lakini ni kama umempigia mbuzi gitaa
 
Back
Top Bottom