kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,179
- 3,117
Wauaji walimpiga risasi na kumuua Shehe Majini akiwa nyumbani kwake.Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta
Wewe utakaye ishi milelel usitoke. Usipokufa 7/7 utakufa kwa kugongwa na gari 8/8. Bora kufia a just cause!Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Tunaishi kwa neema ya Mwenyezi Mungu, sio kwa ujanja wetu.Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Watu watatoka na Maisha yataendelea kama kawaidaKwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Collateral damage haziepukiki uwanja wa vita.Wauaji walimpiga risasi na kumuua Shehe Majini akiwa nyumbani kwake.
Hata huyu bibi pia alipigwa risasi akiwa ndani ya nyumba yake..
View: https://youtu.be/j9yI9PAGIcA?si=_1egfier_LBwq2tU
Watu watatoka na Maisha yataendelea kama kawaida
Acha woga.Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
My friends, ladies and gentlemen,Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Mbona kama unafanana na msigwa mzee wangu π€£π€£π€£π€£
Tunatoka na boksa,sijui itakuwaje kwenda madukani!Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Nataka nitoke ili nione urambo wako dhidi ya wanyonge.Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
ni sherehe ya wafanyabiashara, hivyo biashara lazima ziendelee