Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,915
- 14,638
Mkuu mbona upo kawaida tu.Sawa mkuu nitazingatia pia
Upo sawa tu , penda kufanya mazoezi na mda mwingine chapa kazi za nguvu za kiume , hiyo michuzi inakata fasta bwashee , hauna tatizo kubwa kama nilivyodhani🤔Sawa mkuu nitazingatia pia
Pesa iliingia jana usku kaka, nikaanza kuisurubu usiku huo huo.Mkuu ushaukimbia uzi wako wa mshahara ushapoa tayar😀
Pia azingatie aina ya mavazi. Sio kila vazi linamfaa mtu. Aache kuvaa vimodo nguo za kubana bana apige bwanga kiaina... Atajikubali tu...Upo sawa tu , penda kufanya mazoezi na mda mwingine chapa kazi za nguvu za kiume , hiyo michuzi inakata fasta bwashee , hauna tatizo kubwa kama nilivyodhani🤔
What did you do kupata body yako.Ila ni mwonekano wa hovyo mno kwa mwanaume, yani hovyo kabisa.
Ahaha.Pesa iliingia jana usku kaka, nikaanza kuisurubu usiku huo huo.
Asubuhi nikaenda sokoni kununua mazaga hapa fresh. Pesa ikiingia siwezi kutulia
Upo normal but ukitaka mazoezi ongeza kwa juu kuleta balance.Sawa mkuu nitazingatia pia
😂😂😭😭😭💔Picture
Kabila lenu most girls wana shape #9 wakiume mzipatie wapi (joking) 😁Ukichagua wanawake wenye makalio makubwa lazima watoto hata wa kiume wayaokote bwashee, kwa namna moja ama nyingine hata jamii zenye vigoda kuna namba za wanaume wameyakwaa bwashee 😅
Yeah hii kitu inarithiwa , mbaya zaidi mpaka watoto wa kiume wanarithi , kuna baba mmoja anamikalio, na binti zake wote wamerithi ila mamayao kanyooka kama rulaKabila lenu most girls wana shape #9 wakiume mzipatie wapi (joking) 😁
The guy ni mnyamwezi so it's normal
Sawa , ila nimeona yupo kawaida tu, sema apige tizi hasa kukimbia michuzi itapunguaWhat did you do kupata body yako.
Kwani ni effort yako au nature imeruhusu ?
Sio vizuri min -me i know kwako ni easy cause you don't even know hizo struggles zinaumizaje. But be kind
Nani tena anataka kunipa makebo yake kama nyongeza🤔Hahahaaa kwahiyo mkuu una Makebo mnesoneso umbo namba nane!!
Omba Mungu wachina waharakishe kujenga viwanda Tz. U never know pengine wanaweza wakaja na utaalam wa kubadilishana mashepu mbadilishane na mrembo wetu ShesRise_1
Hips = NyongaMimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.
Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.
Ahsante karibu sana kwa ushauri.
Wee bwana weee ni Heineken au kindiii leo.Kwa maelezo yako upo namna hii?View attachment 3593339
HahahaWee bwana weee ni Heineken au kindiii leo.
Hahaaaaa show me what your baba gave youYeah hii kitu inarithiwa , mbaya zaidi mpaka watoto wa kiume wanarithi , kuna baba mmoja anamikalio, na binti zake wote wamerithi ila mamayao kanyooka kama rula
Ila confession nina swali?😅😅Hahaaaaa show me what your baba gave you
DNA hailaumiwi
hujambo confession?Accept yourself first
Wewe ni mwanaume 100%
No matter how people see or perceive you
It's Okay kwenda gym but that won't remove your insecurities. Deal with your mental and emotional state first