Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,349
- 6,660
Msaidie jamaa aisee, wanaume tunamitihani Sana[emoji4]Tatizo Aisha mwenyewe anamtesa jamaa kisaikolojia. Ticha kabski na saikolojia ya kuteswa na mke, ya kumtesa mke imekimbia. Natamani nimfundishe nilichofanya mimi. Nipo huru na familia yangu. Maisha yanaenda. Nina kaz moja tuvya kupambana na umaskini, na siyo mke.
Hili ni wazo zuri mkuuHuyu ni teacher konde nn mbona fala fala ivo si aombe hata ruhusa ya kwenda masomoni atokomee uko huku akiwa mbali naye ili aweze sasa kujipanga ikiwa ni pamoja na kuseti uhamisho wa kubadilishana kwa dar hawez kukosa wa kubadilishana nae
Hahahaha alikua anataka akufanye kilaza wake anakuburuta anavyotaka,Bora uligundua Hilo.Utamu wa show yake nauelewa,
ila hawez autumie Kama silaha, alileta za kuleta namzingua hivyo hivyo.
Kuna kipind huwa anasema wee mwanaume utakua unavuta mibangi, unanibadilikia MDA wowote[emoji4]
Bwana Mwalimu umeshauriwa kwamba uhame kituo chako cha kazi, una matatizo gani lakini? Kwanini huelewi tu? Kuna siku DC atakutupa ndani ndipo akili itakujia.Hap umenena mkuu ila changamoto wakiona matukio yamezidi si watafufua upya kesi au hapo mkuu anaruka vipii.?
Nakazia na mie hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna akili inanambia tatizo naliona kwa ticha badala ya Aisha[emoji4]
Sio mwalimu ni tichaHuyo mwalimu ni mpumbavu