Kwaiyo siku hiz watu wanaficha madhaifu yao kw Mgongo wa makaka na mandugu kwa kuwapakazia madhaifu, na kuja kuomba ushauri kijanja ili tusiwagundue[emoji23][emoji23]..bahat mbaya majiran zenu tupo humu na tuna kiri wazi kuwa ni wew ndiye muhusika..be specific burazaa mficha maradhi kifo humuumbua[emoji23][emoji23]
anyway kukushauri tu/kumshauri huyo braza ako , kama alivyokuwa mwepes kumkunja binti wawatu kumlala, basi awe mwepes hata kwenye kulea iyo mimba, no matter hana mbegu za uzazi au nini, unapokula boga, kubali kula na majani yake..
hakuna msalia mtume, ilo zigo lake alibebe bila wasiwasi na ailee iyo mimba mpka mtoto azaliwe na ndpo harakati za kupima DNA ziendelee...
tukiwaambia kuweni makini na hawa viumbe waitwao wanawke, nyie mnapuuza haya sasa ili nalo neno[emoji23][emoji23]