Halafu wakifika vijijini wanaambiwa pembejeo za kilimo ziko Dar, hilo bomu naamini iko siku litalipuka.
Wakifika huko mambo ni mazuri serikali yao inawajaliHalafu wakifika vijijini wanaambiwa pembejeo za kilimo ziko Dar, hilo bomu naamini iko siku litalipuka.
Sasa wakiwa na soko la uhakika sisi huku mjini si watatuuzia bei ghali?Tatizo huko vijijini hakuna barabara za uhakika za kusafirishia mazao kumfikia mlaji. Mazao yanaozea mashambani.
Hakuna soko la uhakika la mazao. Sasa hivi mahindi yamejaa na soko hakuna.
Kila unalolifanya unatakiwa kulifanyia business plan, kama halina faida achana nalo.Sasa wakiwa na soko la uhakika sisi huku mjini si watatuuzia bei ghali?
Kabisa sio lazima sote tukae mjini.Huo ndio ukweli wenyewe, hakuna shortcut kupata maendeleo.
Wananchi milioni 60 wakihamia Dar es salaam au mijini ili wawe machinga, unaweza kuona contradiction hapo.
Wacha projections zisozokuwa na mantiki. Ni halmashauri gani hapa nchini ambayo haina facilities za kuuza viuatilifu, mbegu ya mazao na mbolea?Halafu wakifika vijijini wanaambiwa pembejeo za kilimo ziko Dar, hilo bomu naamini iko siku litalipuka.
Huu Ushauri mzuri sanaa last month nilikuwa kijijini vijana wanapiga vizuri sana pesa ya mpunga, nyanya, vitunguu yaani wako njema sana tuu...Halafu wakifika vijijini wanaambiwa pembejeo za kilimo ziko Dar, hilo bomu naamini iko siku litalipuka.
Watanzania asilimia 85 wako vijijini, hivi hao wote mnawaonaje?Tatizo huko vijijini hakuna barabara za uhakika za kusafirishia mazao kumfikia mlaji. Mazao yanaozea mashambani.
Hakuna soko la uhakika la mazao. Sasa hivi mahindi yamejaa na soko hakuna.
Na kule mbogamboga ni Chakubanga au vipi na chuo chake ambako mkuu wa shule ni yeye, mhasibu yeye, mpishi yeye, mwanafunzi yeye...John Heche pekee ndio anaelewa maana ya Uchumi hapo Ufipa!