Hii njia sio optimum solution bali ni initial solution mkuu. Ukitaka optimum solution ni lazima ujijengee misingi na kanuni za kuishi na mwanamke ili hata matatizo hayo yakijitokeza uweze kuwa huru siku zote.Hamishia upendo kwa mwingne mkuu, hii ndo njia hata mm nimewaikuitumia! Letting her go' hii ni ngum kama utakuwa huna pakujishkiza kwa mda!
Dah! You drawn a very rude conclusionMkuu nilikuwa kama wewe na nishapitia hio hali unayopitia. Mwanamke wa type hio hio, same number of years katika uhusiano na mwisho alikuja kunifanya hakuna na hakika nilinyooka kama ruler.
Kuna mtu jana alianzisha uzi wa kumsifia demu wake humu sikuchangia chochote maana nawajua KE na akili zao. Sikutaka kuwa mchochezi!!!
Kwa sasa umeshazingua principles za kuishi na mwanamke, hapo hamna namna zaidi ya kukaza roho tu ila ningependa ujifunze ambacho nilijifunza maishani.
1.Ukiwa na mwanamke penzini hata akupende na kukufia vipi tenga space ya kuwa alone na mambo yako na asihusike katika kila kitu kinachokuhusu (don't intergrate her in your life).
Mfanye kama kitu cha ziada kama Laptop au simu na set akili yako kuwa muda wowote mnaweza achana kama jinsi simu au laptop inavyoweza haribika.
2. Usimfanye yeye kuwa sehemu ya maisha yako ila awe kama mshabiki tu. Fanya mambo, go for you goals in life don't wait for any approvals from your woman either atapenda au hapendi as long as unachokifanya is for your own good utaishi kwa amani sana mapenzini just let her see you win in life.
3.Mjali tu kama kawaida ila usimchukulie serious mwanamke. Ukianza ukimchukulia serious sana tu utaanza kumfatilia fatilia na ma wivu ya kijinga kisha atajua na ataanza kukuendesha na hawapendi wanaume wanao endesheka.
We siku zote kaza usiyumbishwe misimamo yako katika maisha kisa mapenzi kama anakupenda atakuwepo tu licha ya kulalamika sana, ndio wapo hivyo hao watu! Fanya ya muhimu tu ukianza fanyia kazi kila complain lazma akuchongeshe viazi at last. Utakuwa fala tu!!!
4. Kamwe usibembelezee uhusiano katika namna yeyote, mwenye hio kazi ni mwanamke. Akishindwa kuendana na kasi yako ajitathmini ikibidi atembee tena kuwa very strict katika hilo so long as unampenda na kumjali na anajua, weka akili wapo wengine wengi watakaokupenda pia.
Ni simple sana kuongea tatizo kumove onBila yeye maisha yataendelea.. MWACHE AENDE..!!
Dah! You drawn a very rude conclusion
Pole kwa yaliyokukuta lakini sio kwa conclusion hizo...kuna wanawake wako very genuine...na hizo principle si healthy sana kwenye mahusiano hasa ya long term hakika..
Kweli uwe na mke wako unampenda usimshirikishe miradi unayofanya, what a rude heart is that Dah! You drawn a very rude conclusion
Pole kwa yaliyokukuta lakini sio kwa conclusion hizo...kuna wanawake wako very genuine...na hizo principle si healthy sana kwenye mahusiano hasa ya long term hakika..
Kweli uwe na mke wako unampenda usimshirikishe miradi unayofanya, what a rude heart is that
kuna thread naiandaa, ikikamilika nitaipostIkoje hiyo method?
Kuna wanaume ni mabwege kwelikweliAhsante.... Swali linakuja nafanyaje kufanikisha, ndo napofeli
Mzee,Hii Method ilete Fasta asee. Mambo yanaenda kombo huku, Naaaafwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Tumia ile method ya ''The power of letting go''
Push her away,...
Hahaha hii ni njia tamu sana kama ukijua kuitumia, lazima aje kwa magoti
Usijali mkuu, mimi nitaandaa uzi then nitaupost hapa hapaMzee,Hii Method ilete Fasta asee. Mambo yanaenda kombo huku, Naaaafwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Natumia nguvu nyingi, natamani kufanikisha hiloMore problems
Haya Matatizo yanasumbua sana akili, mkuu hauko peke yako. wako wahanga wengi sana na wachache hufanikiwa wanapokubaliana na matokeo kwamba "Nguo ikizeeka huwa dekio".
Mwache sio kwa kutafuta mbadala wake, mwache kwa makosa yake na kufanya jambo lingine tofauti na mapenzi kwa muda mpaka atakapotokea mwenye uelekeo stahiki wa malengo yako.
Usikosee tena, umejikwaa kuwa naye, Muombe na kmshukuru Mungu wako kukugutusha mapema kabla hujaingia ndani ya ndoa na kiatu kisichokutosha huku ukijifariji kwa kukaza kamba na kujaza matambara ndani ya kiatu ili kikufit.
wake-up Sebooo...Wewe ni mwanaume kichwa cha familia , Mhandisi wa familia usitake kujifanya mpaka rangi wa familia. weka misingi imara kwa kuchagua mwenza msikivu mnayesikizana na kuheshimiana.
[HASHTAG]#KUMBUKA[/HASHTAG] MTOA USHAURI MZURI NI MUHANGA MWENZAKO.
Mkuu tatizo km langu aisee ila jaribu kupunguza mawasiliano lakini pia no hulka hasa pale demu anaona unapenda sana na anafanya kusudi ksb anajua utaomba msamaha yataisha ila ukichunguza sana hawanaga kitu mademu wa hivyo...Habar wana jamii ....nashawishika kuandika yanayonisibu hapa kwani natambua tafakari na uzoefu unaopatikana kwenu waweza kuniweka mahala salama.
Ni miaka minne sasa tangu niwe nae kwenye mahusiano. Ni kipenzi cha nafasi yangu kiukweli. Ni mwanamke aliyenifanya niamini katika kupenda, kujali, & kuthamini. Mwanzo sikuwahi kuwa na fikira kuwa kuna udhati katika mapenzi ya wanaume na wanawake. Niliamini mapenzi ni sehemu ya kusukumana siku ziende kwa Yale yaliyowahi kunipata mara kadhaa na niliyoyaona kwa marafiki na watu wengine katika mazingira niliyokaa
Kwa takribani kipindi cha miaka mitatu tangu tufahamiane ningeweza kumuelea kwa maneno machache ( anajali, anathamini, ana mapenzi ya dhati).
Kwa sasa namuona kabadilika, so msikivu tena, amekuwa mtu wa kutukana, kufanya mambo kwa kukomoa. Kati yetu hakuna tena maelewano.
Kwa uwezo wangu nimejitahid kumwambia na kumueleza Kuhusu mabadiliko katika mwenendo wake bila mafanikio na sasa ni mwezi wa sita.
Napata kigugumizi juu yake kwani nampenda sana na niliamuamini kuliko, tukaahidiana kujenga familia pamoja.
Nimejaribu mara kadhaa kujitenga nae lkn limekuwa jambo hatar sana kwangu. Yaani nimeshindwa kumuacha na yeye kila siku kituko.
Na hashauriki sasa nikimshauri anakuwa wa kunitolea matusi, nikimuelekeza kitu yeye anafanya yake tofauti.
Nilipo sasa n mtu wa kuwaza, nervous sana naiona dunia inanizonga.
Nimeshindwa la kufanya naombeni mnisaidie nahsi nitaangamia
Ushauri mzuri nicheki PM uniongezee maarifa aiseeeMkuu nilikuwa kama wewe na nishapitia hio hali unayopitia. Mwanamke wa type hio hio, same number of years katika uhusiano na mwisho alikuja kunifanya hakuna na hakika nilinyooka kama ruler.