Ushauri tafadhali; Mpenzi amebadilika na nashindwa kumuacha

Itakua vema zaidi brother wetu huyu atumie akili kwanza kumuacha na pia kujieka sawa kimaisha na pia kumuomba Mungu ampe wa kupendezwa nae.
Mwanamke unanitukana matusi ambae ntakua baba wa watoto wako kwakweli nakuonyesha mlango ule paleee tena nakufungulia kama Rais vile ukawatukane wengine.
wengine mapenzi wameyaanzia ukubwani kwahiyo hawajawahi ku'experience maumivu ya mapenzi ndo maana wanakuwa hivyo..!
 
Sasa kama unashindwa kumuacha,basi komaa tu mpaka siku akikufanyia kituko cha wewe kumuacha mwenyewe tena kwa hiari yako mwenyewe bila kushurutishwa.

Ujue watu mnachezaga sana na akili za watu humu jf,unatangaza kabisa unahsindwa kumuacha,ushaongea nae hakuelewi wala hasikii Ndio kwanza anaota mapembe sasa unataka ushauriwe kitu gani??
Sasa there is no need to talk like that,,anahitaji msaada
tumezaliwa tofauti kimawazo kihisia, kwaio mpe ushaur mzuri na sio kumsimanga, piga goti yasikukute.
 
halafu toa huo msamiati " ETI HUWEZI KUMUACHA" futa huo msamiati mara moja halafu angalia dunia kwa namna nyingine watu wangapi wanakupenda kuanzia kwenye familia yako ? halafu mpe space kwanza amekuchoka, huna jipya kwake, tatu ukiingia nae kwenye ndoa sababu anajua unampenda sana atakutesa mpaka kaburini ....

jiulize lipi bora kumwacha kabla ya kwenda kifungoni au kuendelea mkaachane kwa sheria baadae huku mnaweza kuwa tayari na kiumbe mkitese? take time think big .

huo ni ubinafsi kulazimisha penzi ..
Umetisha Miss Chagga, Umemshauri Vizuri.
 
MTOA MADA..AU MTAKA USHAURI UNGEWEKA WAZI HUYO MPENZI WAKO NI MWANAUME AU MWANAMKE?..NDIO USAIDIWE MAANA ID YAKO HAIELEWEKI WEWE NI GENDER GANI..ILI UPEWE USHAURI SAHIHI
 
Kinachokusibu hakina tofauti na hali niliyonayo. Hakika sikuwahi kufikir mimi naweza kulia kisa mwanamke,sasa hivi nimeamua kusafiri ili angalau nimsahau ila hali bado mbaya.
Pole sana jamaa, kwangu kazi iliyokubwa pia ni kumsahau
 
EITHER WAYS...KAMA UTAKUWA UNAFAHAMU JINSI MADARAJA MAREFU YANAVYOJENGWA BASI ITAKUWA RAHIS KWAKO KUACHANA NA HUYO MPENZI PASUA KICHWA..MAPENZI SIO JELA..COME TO YOUR SENSE...ILA TUMIA MBINU YA UJENZI WA DARAJA..KABLA HUJAMOVE PHASE YA PILI HAKIKISHA UMETENGENEZA NGUZO ILI KUSUPPORT UJENZI ULIOPITA..HII INAMAANA...TAFUTA MPENZI MPYA CHAPCHAP...HALAFU ANZA KUMPUUZA HUYO ELEKEZA NGUVU NYINGI KWA MPNZ MPYA..UKISHAONA NGUZO IMEKAUKA VIZURI...TEMANA NA HILO JIPU LA MWANZO..HAPO UTAGUNDUA HUTAUMIA KABSA KWA MAANA HISIA ZAKO UTAKUWA UMEKABIDHI SEHEMU NYINGINE....USIACHE KAZI KABLA HUJAPATA KAZI...AHSANTE
 
Itakua vema zaidi brother wetu huyu atumie akili kwanza kumuacha na pia kujieka sawa kimaisha na pia kumuomba Mungu ampe wa kupendezwa nae.
Mwanamke unanitukana matusi ambae ntakua baba wa watoto wako kwakweli nakuonyesha mlango ule paleee tena nakufungulia kama Rais vile ukawatukane wengine.
Natamani iwe hivo lakn kupiga hatua kutoka nilipo umekuwa mtihani mgumu
 
wengine mapenzi wameyaanzia ukubwani kwahiyo hawajawahi ku'experience maumivu ya mapenzi ndo maana wanakuwa hivyo..!
Huenda ....lkn maisha niliyoishi naye kwa miaka mi3 nadhani ndio yameniweka katika hali hii, alinifanya nimuamini, nimpende kwa dhati na kumthamini bila shurti kutokana na mwenendo wake
 
MTOA MADA..AU MTAKA USHAURI UNGEWEKA WAZI HUYO MPENZI WAKO NI MWANAUME AU MWANAMKE?..NDIO USAIDIWE MAANA ID YAKO HAIELEWEKI WEWE NI GENDER GANI..ILI UPEWE USHAURI SAHIHI
Mimi ni mwanaume
 
Sasa there is no need to talk like that,,anahitaji msaada
tumezaliwa tofauti kimawazo kihisia, kwaio mpe ushaur mzuri na sio kumsimanga, piga goti yasikukute.
Unadhani nimemsimanga??
Huo ndio ukweli, amesha declare hawezi kumuacha unamsaidiaje???
 
EITHER WAYS...KAMA UTAKUWA UNAFAHAMU JINSI MADARAJA MAREFU YANAVYOJENGWA BASI ITAKUWA RAHIS KWAKO KUACHANA NA HUYO MPENZI PASUA KICHWA..MAPENZI SIO JELA..COME TO YOUR SENSE...ILA TUMIA MBINU YA UJENZI WA DARAJA..KABLA HUJAMOVE PHASE YA PILI HAKIKISHA UMETENGENEZA NGUZO ILI KUSUPPORT UJENZI ULIOPITA..HII INAMAANA...TAFUTA MPENZI MPYA CHAPCHAP...HALAFU ANZA KUMPUUZA HUYO ELEKEZA NGUVU NYINGI KWA MPNZ MPYA..UKISHAONA NGUZO IMEKAUKA VIZURI...TEMANA NA HILO JIPU LA MWANZO..HAPO UTAGUNDUA HUTAUMIA KABSA KWA MAANA HISIA ZAKO UTAKUWA UMEKABIDHI SEHEMU NYINGINE....USIACHE KAZI KABLA HUJAPATA KAZI...AHSANTE
Nilipoharibikiwa zaidi nakuwa nervous karbia kwa kila mwanamke nayemuona, kama naanza kuwachukia hv ila sielewi vizur
 
EITHER WAYS...KAMA UTAKUWA UNAFAHAMU JINSI MADARAJA MAREFU YANAVYOJENGWA BASI ITAKUWA RAHIS KWAKO KUACHANA NA HUYO MPENZI PASUA KICHWA..MAPENZI SIO JELA..COME TO YOUR SENSE...ILA TUMIA MBINU YA UJENZI WA DARAJA..KABLA HUJAMOVE PHASE YA PILI HAKIKISHA UMETENGENEZA NGUZO ILI KUSUPPORT UJENZI ULIOPITA..HII INAMAANA...TAFUTA MPENZI MPYA CHAPCHAP...HALAFU ANZA KUMPUUZA HUYO ELEKEZA NGUVU NYINGI KWA MPNZ MPYA..UKISHAONA NGUZO IMEKAUKA VIZURI...TEMANA NA HILO JIPU LA MWANZO..HAPO UTAGUNDUA HUTAUMIA KABSA KWA MAANA HISIA ZAKO UTAKUWA UMEKABIDHI SEHEMU NYINGINE....USIACHE KAZI KABLA HUJAPATA KAZI...AHSANTE
Safi. Atafutr mwingine, huyo mwingine atamsahaurisha huyu taratibu na completely.
 
More problems
Haya Matatizo yanasumbua sana akili, mkuu hauko peke yako. wako wahanga wengi sana na wachache hufanikiwa wanapokubaliana na matokeo kwamba "Nguo ikizeeka huwa dekio".

Mwache sio kwa kutafuta mbadala wake, mwache kwa makosa yake na kufanya jambo lingine tofauti na mapenzi kwa muda mpaka atakapotokea mwenye uelekeo stahiki wa malengo yako.

Usikosee tena, umejikwaa kuwa naye, Muombe na kmshukuru Mungu wako kukugutusha mapema kabla hujaingia ndani ya ndoa na kiatu kisichokutosha huku ukijifariji kwa kukaza kamba na kujaza matambara ndani ya kiatu ili kikufit.

wake-up Sebooo...Wewe ni mwanaume kichwa cha familia , Mhandisi wa familia usitake kujifanya mpaka rangi wa familia. weka misingi imara kwa kuchagua mwenza msikivu mnayesikizana na kuheshimiana.

[HASHTAG]#KUMBUKA[/HASHTAG] MTOA USHAURI MZURI NI MUHANGA MWENZAKO.
 
Back
Top Bottom