Fikiria watu wengine wanaokupenda jipe space na muda utafanikiwa.. si jambo la usiku mmojaAhsante.... Swali linakuja nafanyaje kufanikisha, ndo napofeli
soma hapa[emoji116][emoji116] then malizia na funzo pale chini.Habar wana jamii ....nashawishika kuandika yanayonisibu hapa kwani natambua tafakari na uzoefu unaopatikana kwenu waweza kuniweka mahala salama.
Ni miaka minne sasa tangu niwe nae kwenye mahusiano. Ni kipenzi cha nafasi yangu kiukweli. Ni mwanamke aliyenifanya niamini katika kupenda, kujali, & kuthamini. Mwanzo sikuwahi kuwa na fikira kuwa kuna udhati katika mapenzi ya wanaume na wanawake. Niliamini mapenzi ni sehemu ya kusukumana siku ziende kwa Yale yaliyowahi kunipata mara kadhaa na niliyoyaona kwa marafiki na watu wengine katika mazingira niliyokaa
Kwa takribani kipindi cha miaka mitatu tangu tufahamiane ningeweza kumuelea kwa maneno machache ( anajali, anathamini, ana mapenzi ya dhati).
Kwa sasa namuona kabadilika, so msikivu tena, amekuwa mtu wa kutukana, kufanya mambo kwa kukomoa. Kati yetu hakuna tena maelewano.
Kwa uwezo wangu nimejitahid kumwambia na kumueleza Kuhusu mabadiliko katika mwenendo wake bila mafanikio na sasa ni mwezi wa sita.
Napata kigugumizi juu yake kwani nampenda sana na niliamuamini kuliko, tukaahidiana kujenga familia pamoja.
Nimejaribu mara kadhaa kujitenga nae lkn limekuwa jambo hatar sana kwangu. Yaani nimeshindwa kumuacha na yeye kila siku kituko.
Na hashauriki sasa nikimshauri anakuwa wa kunitolea matusi, nikimuelekeza kitu yeye anafanya yake tofauti.
Nilipo sasa n mtu wa kuwaza, nervous sana naiona dunia inanizonga.
Nimeshindwa la kufanya naombeni mnisaidie nahsi nitaangamia
Pole sana mkuu kwa yanayokusibu, jaribu kuchukua maamuzi magumu, mpotezee epuka kuwa karibu naye, futa namba yake ya simu, mu ignore, ipende nafsi yako zaidi, kumbuka mabaya yake tu na kuishawishi nafsi yako ku move on, amini unastahili kilicho bora zaidi utaumia mwanzoni lakini utazoea,Habar wana jamii ....nashawishika kuandika yanayonisibu hapa kwani natambua tafakari na uzoefu unaopatikana kwenu waweza kuniweka mahala salama.
Ni miaka minne sasa tangu niwe nae kwenye mahusiano. Ni kipenzi cha nafasi yangu kiukweli. Ni mwanamke aliyenifanya niamini katika kupenda, kujali, & kuthamini. Mwanzo sikuwahi kuwa na fikira kuwa kuna udhati katika mapenzi ya wanaume na wanawake. Niliamini mapenzi ni sehemu ya kusukumana siku ziende kwa Yale yaliyowahi kunipata mara kadhaa na niliyoyaona kwa marafiki na watu wengine katika mazingira niliyokaa
Kwa takribani kipindi cha miaka mitatu tangu tufahamiane ningeweza kumuelea kwa maneno machache ( anajali, anathamini, ana mapenzi ya dhati).
Kwa sasa namuona kabadilika, so msikivu tena, amekuwa mtu wa kutukana, kufanya mambo kwa kukomoa. Kati yetu hakuna tena maelewano.
Kwa uwezo wangu nimejitahid kumwambia na kumueleza Kuhusu mabadiliko katika mwenendo wake bila mafanikio na sasa ni mwezi wa sita.
Napata kigugumizi juu yake kwani nampenda sana na niliamuamini kuliko, tukaahidiana kujenga familia pamoja.
Nimejaribu mara kadhaa kujitenga nae lkn limekuwa jambo hatar sana kwangu. Yaani nimeshindwa kumuacha na yeye kila siku kituko.
Na hashauriki sasa nikimshauri anakuwa wa kunitolea matusi, nikimuelekeza kitu yeye anafanya yake tofauti.
Nilipo sasa n mtu wa kuwaza, nervous sana naiona dunia inanizonga.
Nimeshindwa la kufanya naombeni mnisaidie nahsi nitaangamia
ila ingekuwa wewe nisingekuacha.. ningekuendea hata kwenye manyanga!si lazima amrudishe anaweza pia kumuacha ..teh
ha hahaha we nawe king'ang'aniziila ingekuwa wewe nisingekuacha.. ningekuendea hata kwenye manyanga!
Itakua vema zaidi brother wetu huyu atumie akili kwanza kumuacha na pia kujieka sawa kimaisha na pia kumuomba Mungu ampe wa kupendezwa nae.kuna mahali umeteleza na kuna mjanja katumia upenyo huo kumla demu wako.. unatakiwa utumie akili sana kumrudisha.. anakolezwa huyo..!!!!