Ushauri tafadhali; Mpenzi amebadilika na nashindwa kumuacha

Ushauri tafadhali; Mpenzi amebadilika na nashindwa kumuacha

Mali yako inaliwa badili mwelekeo unamgandaje mtu mmoja kama umezaliwa naye
 
Tumia ile method ya ''The power of letting go''
Push her away,...
Hahaha hii ni njia tamu sana kama ukijua kuitumia, lazima aje kwa magoti
tupemo mautundu mkuu ya the power of letting go[emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Mkuu peaneni muda kila mtu akae kivyake ikiwezekana hata miezi 4 hapo kila mtu atafikiri, atawazua na kuona kipi anataka. Kuna mjinga anamuigizia maisha anaona huko kuko poa mpe nafasi miezi kadhaa
 
Hapo unajiumiza mwenyewe kisa gelo frend kah!
 
Pole sana...
Mabadiliko kwa binadamu ni kitu cha kawaida sana... Unapokuwa kwenye mahusiano, jiweke tayari for anything and always stay positive... Chukulia kama ni changamoto zitapita tu...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom