Ushauri tafadhali, mchumba akataliwa ukweni

Ushauri tafadhali, mchumba akataliwa ukweni

Sasa kama anampenda kweli habari za kuoneana huruma na bado kuwa sokoni zinatoka wapi? Ye mwenyewe inaonekana condition ya Mshkaji inamsumbua. Ampe za uso tu, he'll be alright. Guilt conscious atajifariji na siasa za wazazi.

daaah... hili nalo neno.. kaazi kweli kweli:A S confused:
 
Anamwonea hurum? Huo ulemavu unaonekana ni mkubwa kiasi cha kuwatia waswasi wazazi na ndugu, kwa kuwa bado analipa mdada aachane naye tu.
 
Pesa Inaongea Ndugu! Kuna Usemi Unasema Kuwa "bila Pesa....Madem Wazur Utaishia Kuwaita Shemeji" Ndiyo Yaliyomtokea Huyo Kijana!
 
Mambo ya kwenye kitabu cha TAKADINI
 
Hiki kisa kinanikumbusha wakati niko secondary, dada wa rafiki yangu alipeleka mchumba nyumbani, jamaa alikuwa kwenye wheel chair, mhasibu mwenye CPA. Wazazi wakaleta za kuleta lakini binti alikomaa. Mwisho wa siku walioana, tena jamaa akawa ndiyo mlezi wa familia yote ya mke.
 
Sasa kama anampenda kweli habari za kuoneana huruma na bado kuwa sokoni zinatoka wapi? Ye mwenyewe inaonekana condition ya Mshkaji inamsumbua. Ampe za uso tu, he'll be alright. Guilt conscious atajifariji na siasa za wazazi.

Niliwahi kusoma sehemu kuwa Binadamu akitaka lake linakuwa hata aje Yesu hawezi zuia, hiyo ya kusema Wazazi sijui nini ni excuse iliyoficha mengi.
 
Niliwahi kusoma sehemu kuwa Binadamu akitaka lake linakuwa hata aje Yesu hawezi zuia, hiyo ya kusema Wazazi sijui nini ni excuse iliyoficha mengi.
Tuko kwenye same picture hapa, yeye mwenyewe anamchukulia kama mlemavu badala ya boyfriend/mchumba. Wazazi na kuja kuomba ushauri hapa ni kutafuta tu namna ya kupunguza kujiskia vibaya kwa kummwaga jamaa.
 
Huo ulemavu wake ni wa kuzaliwa nao au alipata ajali?

Ila hata zamani kasoro kama hizo ,plus ukoma vilikuwa vinaangaliwa, so mi siwalaumu hao wazazi
 
Mh! naona kama wazazi wanamtengenezea njia binti yao ya kuja kuwa mlemavu, - kawaambie hao wazee msemo huu, "Hujafa hujaumbika" - japo wanaufahamu.
 
Msichana asiolewe na mtu kwa sababu anamuonea huruma, ni kosa sana. Kama anampenda kwa dhati Mungu atafanya njia.
Kama anweza asubiri hasira za wazazi zipungue kisha watafutwe wenye hekima walijadili na kulimaliza.

Ila si vibaya kama atatafuta mwingine kuliko kuolewa na mtu just because anamuonea huruma kwa kuwa ni mlemavu. akishaingia kwenye ndoa, huo uremavu utakuwa mwiba kwake na mapenzi aliyonayo kwake yatakwisha.
 
ningekuwa mm ni mzazi wa huyo binti ningekubali maana wamependana wenyewe, mimi natamani hata ningeolewa na mwanaume ambae hana mingu hata mgongoni ningemumbeba maana mume wangu ni kiwembe kwelikweli asione sketi yeye atataka kufunua tuu, ma baamaid ndio usisema. ukiwapaga foleni watafika dar mpaka chalinze. pole zake binti.
 
ngoja aolewe na asiye mlemavu then wazae mlemavu sijui watatupa mjukuu.huyo mama mkwe hana busara
 
wazaz nafikiri uwezo wao wakufikiri umeishia hapo iv uyo binti ana akili see,jaji thn act.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom