Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Mkuu wa kazi nina mambo 2 hapo ya kukuambia...

1. Kwa maneno mengine ninafikiri unatafuta mwanamke wa kupunguzia machungu af akijielewa huyo ndo awe mkeo sio? Ipo ile page ya love connect sijui.

2. Unamuumiza sana dadaako achana na hiyo tabia ya kumwambia mambo ya ndoa yako na kama na yeye huwa anakumbia basi shida ilianza kwenye malezi.

Oveeeer!
UMEONA EEH, DADAKE NDYO WAKUMWAMULIA MOST THINGS.
 
Naomba niende kwenye mada, mke wangu alikuwa mama wa nyumbani nilikaa nae kwa upendo sana sijawahi kujutia na upendo sana na heshima mpaka dada yangu akasema nifanye mpango mke wangu awe na kazi, basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila siku maana nimezaa nae mtoto1. Nikamtafutia kazi mimi nipo Arusha akapangiwa kazi Bukoba sasa ndio tatizo limeanzia hapo.

Wiki ya kwanza kuripoti mawasaliano yalikuwa mazuri sana maana hela ya kuanzia nilimpa sasa alipoanza kupokea mshahara duuuuh! Akaaanza kunifanyia dharau napiga simu hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti anakutafuta siku akipenda, nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata Jumamosi na Jumapili busy usiku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio, nikimuliza tafadhali nipigie kwenye simu hukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi hukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.

Kunipigia simu kwa mwezi Mara 1 tena aniuliza mzima wewe nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi, unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asubuhi anakujibu usiku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake dah! Niliumia siku ambayo aliniambia kwa sasa siwezi kufanya lolote ana kazi yake siku hiyo nilitaka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila dada yangu aliniomba nisifanye hivyo baada ya kumwambia nakuja kufanya hivyo akamwambia mama yake.

Mama yake akaniomba nisifanye hivyo sikutaka kumsikiliza ila nilisikiliza ushauri wa daada yangu mwaka 1umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi sijawahi kumuomba hela yake najua mshahara anapokea bei gani kuna siku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nini maana sijawahi kukuomba hela yako wala kukuuliza mshahara wako unapeleka wapi hana cha kuniambia.

Kwanza kuongea nae kwa mwezi 1 moja mapaka nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojisikia sikuwahi kumuuliza sasa mimi kwa sasa nimekuja Dar kikazi nina miezi 2 wala sijawahi kumwambia kama nipo Dar nimekaa kimya, nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2.

Sijamuambia nyumba ya Arusha nimemuweka mtu nataka niuze nyumba ya Dar na gari yangu niondoke zangu bila kumwambia, mwanangu nimepeleka kwa dada yangu na nimemtafutia shule nzuri, mimi najiandaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikani ya Tanzania hawezi kunipata. Nirudi Tanzania nitaaanza maisha mapya na mwanangu kuoa tena sitaki.

Je, nimefanya kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsia baada ya ndugu yako kunifanyia sivyo.
SASA HAPO PENYE NIMEBOLD PANAHITAJI KUSIKIKA UPANDE WAPILI WA SHILLING, INAWEZEKANA NA WW ULIKUWA UKIMNYANYASA, KWA NINI ASEME HVYO KAMA KWELI HAKUNA JAMBO BAYA UMEMTENDA MKEO, KAENI MUYAMALIZE ACHA KUKURUPUKA NA MAAMUZI YAKO PEKE AKO... ULIDHANI NDOA NI MTEREMKO TUU..
 
Mtoto ana 4year kwa upendo nikajua tutasaidian maisha mtoto aliniachia akiwa na mwaka 1 ckutak kumpeleka MTU nikitaka niteseke mwenyew na mwanangu mwenyew pia hataki kukaaa na MTU zaidi ya baba yake

Kama kuna uwezekano nenda na mtoto wako atleast tangulia andaa mazingira ndio uje umchukue baadae usiachie mtu jukumu la kulea mwanao ili umfundishe tabia unazotaka awe nazo sio aokoteze huku na kule.
 
Pole mkuu wapo wazuri tuu mbona. nimechekajee???

hawa wanawake washapitia kwenye matukio hatar hatar kabla hujawa nae unapaswa ukampime akili pia utafi ulishasema wengi wao ndio hivo tena hamnazo
 
Hatari,pole sana mkuu,mgeukie Mungu ili akupe wepesi.
 
Mh kwanza pole. Lakini dawa ya tatizo ni kutatua ndugu siyo kukimbilia nje ya nchi maana huko nako wapo heart breakers tu. Cha kufanya nenda bukoba kisirisiri usimwambie chunguza anapoishi fanya uchunguzi kwa makini ujue jeuri anaipata kwa nani, ukishajua tu wewe leta mrejesho.

Sikuungi mkono kuuza nyumba zako na kuondoka hata kama ungekaa 10 years huko nje. Kwa sababu nyumba ni asset ipo tu na itaendelea kuwepo mtoto wako si yupo? Huyo mwanamke kama ni wa ndoa huwez mkimbia kihivyo hata kama ana makosa kuna sheria zitakubana. Tuliza kichwa baba ndoa zina changamoto usipime hiyo yako ni cha mtoto!!! Mwanaume wa kweli anatatua matatizo wala hayakimbii.[emoji4]

Ha haaa we naona unataka Mura akachinje mtu atakapomkamata anayemlia vyake , ameshakuambia ametoka mkoa uilee wa kipolisi .
 
Naomba niende kwenye mada, mke wangu alikuwa mama wa nyumbani nilikaa nae kwa upendo sana sijawahi kujutia na upendo sana na heshima mpaka dada yangu akasema nifanye mpango mke wangu awe na kazi, basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila siku maana nimezaa nae mtoto1. Nikamtafutia kazi mimi nipo Arusha akapangiwa kazi Bukoba sasa ndio tatizo limeanzia hapo.

Wiki ya kwanza kuripoti mawasaliano yalikuwa mazuri sana maana hela ya kuanzia nilimpa sasa alipoanza kupokea mshahara duuuuh! Akaaanza kunifanyia dharau napiga simu hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti anakutafuta siku akipenda, nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata Jumamosi na Jumapili busy usiku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio, nikimuliza tafadhali nipigie kwenye simu hukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi hukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.

Kunipigia simu kwa mwezi Mara 1 tena aniuliza mzima wewe nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi, unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asubuhi anakujibu usiku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake dah! Niliumia siku ambayo aliniambia kwa sasa siwezi kufanya lolote ana kazi yake siku hiyo nilitaka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila dada yangu aliniomba nisifanye hivyo baada ya kumwambia nakuja kufanya hivyo akamwambia mama yake.

Mama yake akaniomba nisifanye hivyo sikutaka kumsikiliza ila nilisikiliza ushauri wa daada yangu mwaka 1umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi sijawahi kumuomba hela yake najua mshahara anapokea bei gani kuna siku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nini maana sijawahi kukuomba hela yako wala kukuuliza mshahara wako unapeleka wapi hana cha kuniambia.

Kwanza kuongea nae kwa mwezi 1 moja mapaka nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojisikia sikuwahi kumuuliza sasa mimi kwa sasa nimekuja Dar kikazi nina miezi 2 wala sijawahi kumwambia kama nipo Dar nimekaa kimya, nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2.

Sijamuambia nyumba ya Arusha nimemuweka mtu nataka niuze nyumba ya Dar na gari yangu niondoke zangu bila kumwambia, mwanangu nimepeleka kwa dada yangu na nimemtafutia shule nzuri, mimi najiandaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikani ya Tanzania hawezi kunipata. Nirudi Tanzania nitaaanza maisha mapya na mwanangu kuoa tena sitaki.

Je, nimefanya kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsia baada ya ndugu yako kunifanyia sivyo.
Hapo maamuzi bomba sanaaaa
 
i have been thru the same shit twice ,na nilifanya approach uliotumia ww ingawa mm sikusafiri au kubadili namba nilichofanya nikusitisha tu mawasiliano kabsa, kwahyo mm na support kabsa hatua uliochukua, hawa wanawake wa sasa jman tuwaone tu hvi sio watu kabsa, unamchukua mwanamke hana kitu unamsomesha na kazi unampa badae anakuja kukupa kidonda kikubwa sana cha moyo, mm nilishapita nao mbali , na sijui kama kuna kuoa huko mbeleni maana hali sio hali sikuiz.haambiiki wala hawasikii kitu
 
Naomba niende kwenye mada, mke wangu alikuwa mama wa nyumbani nilikaa nae kwa upendo sana sijawahi kujutia na upendo sana na heshima mpaka dada yangu akasema nifanye mpango mke wangu awe na kazi, basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila siku maana nimezaa nae mtoto1. Nikamtafutia kazi mimi nipo Arusha akapangiwa kazi Bukoba sasa ndio tatizo limeanzia hapo.

Wiki ya kwanza kuripoti mawasaliano yalikuwa mazuri sana maana hela ya kuanzia nilimpa sasa alipoanza kupokea mshahara duuuuh! Akaaanza kunifanyia dharau napiga simu hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti anakutafuta siku akipenda, nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata Jumamosi na Jumapili busy usiku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio, nikimuliza tafadhali nipigie kwenye simu hukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi hukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.

Kunipigia simu kwa mwezi Mara 1 tena aniuliza mzima wewe nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi, unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asubuhi anakujibu usiku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake dah! Niliumia siku ambayo aliniambia kwa sasa siwezi kufanya lolote ana kazi yake siku hiyo nilitaka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila dada yangu aliniomba nisifanye hivyo baada ya kumwambia nakuja kufanya hivyo akamwambia mama yake.

Mama yake akaniomba nisifanye hivyo sikutaka kumsikiliza ila nilisikiliza ushauri wa daada yangu mwaka 1umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi sijawahi kumuomba hela yake najua mshahara anapokea bei gani kuna siku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nini maana sijawahi kukuomba hela yako wala kukuuliza mshahara wako unapeleka wapi hana cha kuniambia.

Kwanza kuongea nae kwa mwezi 1 moja mapaka nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojisikia sikuwahi kumuuliza sasa mimi kwa sasa nimekuja Dar kikazi nina miezi 2 wala sijawahi kumwambia kama nipo Dar nimekaa kimya, nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2.

Sijamuambia nyumba ya Arusha nimemuweka mtu nataka niuze nyumba ya Dar na gari yangu niondoke zangu bila kumwambia, mwanangu nimepeleka kwa dada yangu na nimemtafutia shule nzuri, mimi najiandaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikani ya Tanzania hawezi kunipata. Nirudi Tanzania nitaaanza maisha mapya na mwanangu kuoa tena sitaki.

Je, nimefanya kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsia baada ya ndugu yako kunifanyia sivyo.
Nina ombi moja tuu kwako Mkuu.... Naomba ubadilishe Avatar yako.... Inatisha sana sana.... Asanteeeeee.
 
Haya maisha kwel hayana formula m2 umeona umsaidie msaidiane katka maisha mara ghafla anabadlka.... Ungemuacha vilevile nayo ingekua shida maskin pole jipe moyo... Upendo ni gharama unaweza ruka mkojo ukakanyaga kinyesi mfate uko aliko and talk to her ucwe una assume tu ukiwa arusha nenda mzungumze.... Upendo ni gharama sana kumpenda m2 ni gharama kubwa na lazma ukubal yote ila kuna muda ukifka inabd umuache mtu kwa ajil yako mwaya.... Kukaa kmya co suluhisho... Soln ni kuongea nae na ukajua msmamo wake uko wapi katika ndoa...!
Hakuna haja kwa nini ajikombe kwa huyo mwanamke mshenzi kutakuwa kuna watu mameshachukua nafasi yake na wao wamejiongeza wanakula mpaka tigo cha msingi aachane naye .....atapata mwanamke mwingine mbona wapo wengi
 
Makosa mnayofanya ni kuwasomesha na kuwatafutia kazi!
 
Back
Top Bottom