Naomba niende kwny mada .mke wng alikuwa mama wa nyumban nilikaa nae kwa upendo sanaaa cjawahi kujutia na upendo sanaaa na heshima.mpk Dada yng akasema nifanye mpng mke wng awe na kazi basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila cku maaan nimezaa nae mtoto 1 .nikamtafutia kazi mm nipo arusha akapangiwa kazi bukoba ss ndio tatizo limeanzia hapo.wiki ya kwnz kuripoti mwasaliano yalikuwa mazuri sanaaa maaaan hela ya kuanzia nilimpa ss alipoanza kupokea mshahara duuuuh akaaanza kunifanyia dharau napiga cm hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti nakutafuta cku akipenda nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata jmosi na jmpl busy ucku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio nakuuliza tafadhali nipigie kwny cm ukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi ukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.kunipigia cm kwa mwezi Mara 1 tenaaa aniuliza mzima ww nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asbh anakujibu ucku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake daaa niliumia siku ambayo aliniambia kwa ss siwezi kufanya lolote ana kazi yake .cku hiyo nilitka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila Dada yng aliniomba nisifanye hivyo baaada ya kumwambia nakuja kufany hivyo akamwambia mama yake.mama yk akaniomba nisifny hivyo sikutka kumusikiliza ila nilisikiliza ushauri wa Dada yng .mwaka 1 umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi cjawahi kumuomba hela yake najua mshahar anapokea bei gani kuna cku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baaadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nn maaaan sijawahi kkuomba hela yako wala kkuliza mshahar wako unapeleka wapi hana cha kuniambia. Kwnz kuongea nae kwa mwezi 1 moja mpk nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojickia siwahi kumuuliza ss.mm kwa ss nimekuja dar kikazi Nina miezi 2 wala cjamwambia km nipo dar nimekaaa kimia Nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 sijamuambia nyumba ya arusha nimemuweka MTU natka niuze nyumba ya dar na gari yang niondoke zng bila kumwambia mwanangu nimepeleka kwa Dada yng na nimemtafutia shule nzuri mm najindaaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikan ya tz hawezi kunipata nirudi tz nitaaanza maisha Mpya na mwanangu kuoa tenaaaa sitaki je nimefany kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsa baaada ya ndugu yako unifanyia sivyo