Dawa yako ni mimiYani acha tu heka heka haziishi kilichobaki hapa nataka nianze kutafuta dawa ya kukata nyege ili tubaki tu na amani tulee mtoto maana bila hivyo naweza jikuta nimechepuka Jambo ambalo litafanya nijidhalilishe na kuivunja ndoa kwa mikono yangu Bora nifanye mpango na Mimi nisiwe tu na hisia tuishi wote Kama magogo
Ngoja nikakope bank alaf nibetie niliwe najua tu msongo wa mawazo ntakaokuwa nao lazima hisia zipoteeBora kama unawaza hivo ingawa ni ngumu
Hapana sio kwamba usizuie tamaa. Lkn mgegedano ni muhimu kwa afya...unafanya na mmoja kwa raha zenu hakuna tatizo.Sasa wewe liachie lomwili liwakake tamaa tu utaipata fresh😂
Nashukuru nimependa ushauri wako nahisi hii njia ndoitatatua hili tatizo coz ni mtu mwenye wivu sana na mm najua nikijikausha lazma ajiulize huyu mtu vipi au ndokashapata mtu uko anamridhishaJikite zaid kweny shughuli zako kitakachofanyika mtengenezee wivu na sio kukutamani
Fanya usafi wa nyumba vzuri kua nadhifu kama kawaida ukifika kitandani sali lala usimguse wala usimtikise akikusemesha mjibu vzuri na kwa upendo. Mwisho wa siku ataanza kujiuliza yeye na sio ww tena
Nisiwe tu muongo chura Sina wachaga na chura wap na wapi Ila Kama ni uzuri nimejaliwa mtoto white, lips Kama za wema sepetu na vihips vya uchokoz chura tu ndonimekosa kwakweliDada una chura? Au mume wako alikuoa kwasababu alihisi wewe ni wife material/aina ya mwanamke ambaye angeweza kumpata, na sio kwamba alikuona mzuri miss chuga
Ha haaaaaaaaa jeans tenaNipambane wapi hapa nimejiweka kimtego mtego Ila mwenzangu hata hategeki ndo kwanza yuko bze anacheza na mtoto natamani hata nikachukue maji ya baridi nimmwagie pengine akili itamkaa sawa inakera kwakweli hapa nawazaa kwanzia kesho nianze kulala na jinsi maana naona najitesa tu na baridi mwenzangu hana habari
Nilichogundua unapenda sana Motto, Kama sio ushachepukaga na akajua asikwambie ndo ikawa chanzo cha yeye kukata stim au kuamua kukususia Basi utachepuka hivi karibuni maana unavyoililia kama Ugali...Habari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Kuhusu nyege zangu inabidi tu sasa Mungu aingilie Kati afanye njia pasipokuwa na njia maana nyege ni kitu kingne zikikupanda alafu ukikosa wa kukutoa unaeza jikuta unagombana na kila mtuKwahiyo nyege zako utazifanyaje?
Duuu...nije na fire extinguisher langu?Habari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Mhhh ni hatari jamani lakini salama karibu.Kuhusu nyege zangu inabidi tu sasa Mungu aingilie Kati afanye njia pasipokuwa na njia maana nyege ni kitu kingne zikikupanda alafu ukikosa wa kukutoa unaeza jikuta unagombana na kila mtu
Una undugu na Mama Maria Nyerere? Umeandika kwa busara sana aiseeKuliko kumlazimisha kufanya tendo ambalo ni dhahiri hataki kulifanya ni bora ukamuweka chini ki upole na kumuuliza nini kinamsibu.
Desturi ya mwanaume ni sawa na kujivua nguo hadharani pale anapokiri kuwa kuna tatizo la nguvu za kiume.
Inawezekana asiwe na mapungufu ya nguvu za kiume lakini akawa na mambo yanayomzonga akili kiasi cha kuathiri utendaji wake.
Tiba ya kwanza daima ni kujua kiini cha tatizo. Na hilo hutolijua pasi kumuhoji. Ondoa dhana yeyote kuwa ana mchepuko maana hiyo itapelekea kuhalalisha hisia za wewe kutaka kuchepuka.
Mwisho na kubwa zaidi, linganisha utendaji wake wa kimapenzi wa toka mlipoanzana na wa hivi sasa. Isije ikawa toka mmekutana alikuwa si mpenzi wa tendo (kuashiria kuna tatizo) ukaanza kuhangaikia tiba ya tatizo sugu.
Kila la heri na Mungu akusimamieni katika ndoa yenu.
👆✅au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi,
Hili jambo limenishangaza sana asee!Aisee kweli kwenye miti hamna wajenzi. Mke anataka kuoelekewa moto mume anakataa mbususu😲😲😲