USHAURI: Simuelewi mume wangu

Hata achoke vp mbususu haijawahi kosa soko, ile ni sawa na mtu anayefanya kazi ngumu na za kuhitaji nguvu bila kustua na kvant usiku hawezi kupata usingizi na kesho yake kazi haziendi.
🤣
 
1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezowa kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.

2. Biashara zimemnyookea?

3. Yuko busy na simu?

4. Anachelewa kurudi?

5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Hata tupigane, tukimaliza ligi inaendelea. Hailali njaa. Sugua mpaka mtu aombe poo!
 


Mtoto mwenyewe mbona tumempata ndani ya ndoa Kama hana hisia kwanini alinioa sasa
 
Hapo tayari una msaidizi ndio maana hana hisia na wewe....ili kuokoa ndoa yako jifanye uko bize jipende na ujipe furaha muda wotee....acha kumfatilia kabisa usimuulize tena kuhusu tendo wala kumlazimisha....kama kuna kitu kina mtatiza atakaa sawa kama ni mwanamke wa nje...atajistukia mwenyewe atarudi kua sawa....
 
Kama hakuwa hivyo alivyo sasa vuta kumbukumbu kuna kipindi Cha nyuma mumeo alikuwa akikuomba tendo la ndoa unampa sababu mbalimbali msifanye. Huwa wanaume hatupendi hali hiyo itokee mara kwa mara matokeo yake ile hali ya matamanio kwa mke Huwa inashuka mno!

Mara nyingi wanawake mnakuwa na excuses nyingi hasa mnapokuwa mmetoka kujifungua mapenzi yote mnahamishia kwa watoto mnamsahau kbs baba jambo ambalo hupelekea baba wakati mwingine kukaa kimya akiugulia ndani kwa ndani.

Sababu nyingine inaweza kuwa kipato ,kwenye utafutaji kama hali imezidi kuwa ngumu Huwa wanaume inatupa taabu sana kuwa na hisia za kila wakati za kimapenzi.

Usipende kukaa uchi kila wakati unapokuwa na mumeo, jitahidi kujisitiri hata kwa nguo zinazoweza kuhamasisha mahaba mbele ya mume wako kama vile kufunga kanga nyepesi ,kuvaa night dress na hakikisha unajiswafi ili kumvutia mumeo.

Kuna tabia ya ubinafsi inawasumbua sana baadhi ya wanawake. Unataka mfanyane kila unapokuwa na hamu wewe tu, mumeo akikuomba kama huna hamu unagoma kbs, hii huchangia hamu ya kufanya tendo la ndoa kushuka mno kwa mwanaume, matokeo yake baadhi ya me hujikuta wanaingia kwenye kasumba ya michepuko.

Lakini wanawake msisahau. Kuwatomber ninyi tunahitaji nguvu kwa maana ya lishe bora. Vyakula vyepesi vinatusababisha kuwa dhaifu matokeo yake tukiwapandia vinenani mwenu hatuwakazi kisawasawa / ipasavyo. Hakikisha mumeo anakula anatosheka ili akikukamata anakutikita anatikisa nyegge zako zote sio kukugusagusa tu kuishia kukutia shombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kubeti hapo mkuu ndio kiini Cha tatizo

Mikeka haijawahi kumuacha mtu salama dadaangu

Imagine alimpa Barca ushindi na psg halafu alitia mpunga mwingi

Walah nyege haziji kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kesi kama hii nshakutana nayo,rafiki yangu nae mmewe baada ya mwaka kwenye ndoa mmewe akawa hana time nae,hata apite mtupu jamaa wala hastuki na akimuomba haki yake jamaa anasema amechoka ana stress za kazi,dada akaamua kumkaushia ila akaanza kumfatilia kisiri ndo kuja kugundua kumbe mmewe nae ana mume na alikua hivyo kabla hawajaoana,na ameshakua very addicted huko!
Sisemi na wako ni hivyo ila kabla hujaforce vitu ambavyo havipo tuliza akili ujue source ilipo na ndo hapo utapata suluhisho!kama hataki usimforce potezea alafu mchunguze taratibu unaweza kuja kugundua chanzo ambacho wala hujawahi kukiwaza na ukashangaa sana!
 
Bora kama unawaza hivo ingawa ni ngumu
 
Kama una uhakika umefanya jitihada zote imeshindikana na wewe kaa kimya usijishughulishe na hilo tendo.
Hata ikipita mwaka kaa kimya na hakikisha mambo mengine hapo home yanaenda vizuri kama kawaida.
Usiache kupendeza na usijinunishe.
Act kama hakuna tatizo.
 
Jikite zaid kweny shughuli zako kitakachofanyika mtengenezee wivu na sio kukutamani
Fanya usafi wa nyumba vzuri kua nadhifu kama kawaida ukifika kitandani sali lala usimguse wala usimtikise akikusemesha mjibu vzuri na kwa upendo. Mwisho wa siku ataanza kujiuliza yeye na sio ww tena
 
Nitafute. Bahati hiyo ningeipata mimi walahi nisingechepuka.
 
Kama anabet basi tatizo limeanzia hapo mda mwingi anawaza mikeka yake. Betting anapoteza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi kwa kuwaza mikeka yake iliyochanika na hela anayopoteza
 
Umenena vyema.
 
Umenena vyema.

Wewe, Yani mtu uwe na nyeee....afu upande kitandani usali ulale? Mnazijua lakini?

Mi ningemshauri siku akiwa na hamu na mume aanze kumchombeza kabla hajarudi, asisubiri arudi.....Yani mara amtumie vimeseji vya kuamsha hamu, mtu ajue akifika home kazi moja.
Kingine ajichunguze afya ya Bibi, Yuko ok? Hana smell? Hana infections?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…