Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Na stress hizo huwa mnajitafutia wenyewe kwa uoumbavu wenu. Hamuombei ndoa zenu, matatizo yenu mnaona michepuko ndio suluhisho. Mkishakoroga huko mnajifanya mna stress mnakufa. Mkufe tu maana msiba wa kujitakia hauna kilio.

Hivi mnafikiri wanawake wana raha sana kwenye ndoa zao? Hebu pita makanisani kaangalie %kubwa ya wanaohangaika kuzililia na kuziombea ndoa zao ni kina nani?
Kweli makanisani na kwa waganga; wahudhuriaji wengi ni wanawake na ni kwa sababu ya stress za mahusiano. Nimemkumbuka Khantwe ghafla. Anakwambia wanawake waliopo kwenye ndoa ndo wanaongoza kwa maombolezo kanisani. Mwambie Mungu anamuona
 
Kweli makanisani na kwa waganga; wahudhuriaji wengi ni wanawake na ni kwa sababu ya stress za mahusiano. Nimemkumbuka Khantwe ghafla. Anakwambia wanawake waliopo kwenye ndoa ndo wanaongoza kwa maombolezo kanisani. Mwambie Mungu anamuona
Huwa wanajipa umalaika hawa viumbe, na kuona wanawake wanafaidi sana kwenye ndoa. Kumbe wengi wamejaza machungu ya kutosha basi tu wanagugumia.
 
Hapo pa kujaza uchungu; ngoja niweke tu pause kwanza.
Huwa wanajipa umalaika hawa viumbe, na kuona wanawake wanafaidi sana kwenye ndoa. Kumbe wengi wamejaza machungu ya kutosha basi tu wanagugumia.
 
tulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
MKUU,
ACHA KUWEWESEKA,

WEWE HAUNA DIGRII WEWE,
MWENYE DIGRII HAWEZI KUWA NA MWANDIKO KAMA HUO AISEE-

TUWE WAKWELI BHANA!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Funguka vizuri. Haiwezekani ukaanza chuki kutoka hewani tu.Tueleze mlianzaje mapenzi yenu.Mlikutanaje?Nani alimuanza mwenzie?Mna watoto?Hali ya elimu zenu,mnazidiana?Uchumi umekaaje?Historian za familia zenu?Umepata mchepuko?Mkeo kapata au unahisi anao mchepuko?Vipi imani zenu/dini,ni waaamini wa kweli?Hebu jaribu kutuhusisha hayo machache kwanza.
good
 
Nadhani shida ni mojawapo ya hizi
1. Bado unaendeleza mahusiano na wanawake ambao unaaona wanakujali zaidi
2.Una wivu wa mapenzi,hukumkuta bikra
3. Kuna mmoja anajiona mkamilifu kuliko mwingn hivyo kujishusha inakuw ngum


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Ndugu,
Huwa inatokea hali kama hii,
Japo sio kwa wote huwa inatokea,
Pia nikukosa darasa sahihi la ndoa kabla ya ndoa, nina mengi ya kukuuliza kwabla sijakupa ushauri ama namna ya kulishinda
Kama hautojali waweza nichek inbox siwezi kuyajadili hapa, sababu ya maswali nitakayokuuliza.

Pia zipo sababu physical na ambazo sio zinazoweza kupelekea hilo,kwake ama kwako

pia yaweza kuwa kosa lilifanyika ukamute ukitegemea aombe samahani yeye na wakati yeye hakujua so anaendelea kucheka unaumia unasahau chazo unabakiwa na chuki

yako mengi ya kuulizana na kupitia wacha niishie hapo
Ila she is your Wife tena usije ukathubutu kumuacha mtoto wa watu maana majirani na marafiki wengi waliumia unapomuoa wewe
walitaka waoe wao, so usije bomoa nyumba kwa kukwepa kiota cha dondola


Ila Ushauri wa haraka nikwamba She is yours haijarishi nini, ndio kiapo cha katika shida na raha,
 
Guys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
Umewahi kukaaa nae chini ukajadili nae tatizo ni nini mpaka akupangie mgao wa kitumbua?
Je hana mpango wa kando? Unaweza kuta ana mtu wake anaemmalizia haja zake ambaye anampenda kwako anatimiza wajibu tu jamii isimuone kashindikana.

Ni muhimu sana kutafuta suluhu ukiwa bado kijana ili ujenge familia yako yenye upendo ikibidi kuachana kama tatizo halitatuliki. Ni kitu kibaya sana kuishi maisha yako yote ya ukiwa hapa duniani wakati una nafasi ya kuwa kuwa na furaha? Kama ambavyo serikali hufeli, mipango hufeli, shule watu hufeli vivyo hivyo mahusiano huwa yanafeli na njia sahihi ni kutatua tatizo au kuachana. Ndio maana kidini (islam) au kisheria unaweza kuachana.....
 
mimi nina 5 years in marriage.,,,am 31 years old,,,I hate the dayear I tied the knot
Pia ulioa haraka sana ina maana ulioa ukiwa na 26 years...umri ambao kwa mwanaume huwa bado ana 'explore' na kupitia changamoto mbali mbali za wadada tofauti....miaka sahihi ni angalau kuanzia 28 au 30....
 
katafute mchungaji alie deep spiritual!wewe utakua una jini mahaba ndo anakufanya umchukie mkeo tu bila sababu yenye mashiko!ni hivi vitu unakuta viko kwenye family ukiangalia utakuta kwenu kuna mwingine alioa akaacha au hawaoi na kuolewa kabisa so inabidi udeal navyo spiritual rather than physical
 
Kwa miaka ya sasa uoe ukiwa na miaka 28 au 30 ni ngumu kulingana na life span ya mwanadamu wa sasa ameishi sana miaka 50 apo mungu kampendelea sana so kuoa ukiwa na miaka 26 ni sahihi kabisa
Pia ulioa haraka sana ina maana ulioa ukiwa na 26 years...umri ambao kwa mwanaume huwa bado ana 'explore' na kupitia changamoto mbali mbali za wadada tofauti....miaka sahihi ni angalau kuanzia 28 au 30....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funguka vizuri. Haiwezekani ukaanza chuki kutoka hewani tu.Tueleze mlianzaje mapenzi yenu.Mlikutanaje?Nani alimuanza mwenzie?Mna watoto?Hali ya elimu zenu,mnazidiana?Uchumi umekaaje?Historian za familia zenu?Umepata mchepuko?Mkeo kapata au unahisi anao mchepuko?Vipi imani zenu/dini,ni waaamini wa kweli?Hebu jaribu kutuhusisha hayo machache kwanza.
Huyu lazma kuna sehem amepeleka upendo yan siamini wameishi miaka 5! Alafu leo anasema hampendi kiukweli kuna kitu alimpendea dada huyo yawezeka kwa kipindi hicho alikua na kazi siajabu katumbuliwa ko amejikuta alichokitaman kwake hakipo tena amehis upendo haupo kwa mke wake, duu Mungu anakuona labda atoe sababu znazomfanya asimpende mke, kama nmalaya inaweza ikaleta mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom