Uvelia
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 640
- 1,192
Hivi umeelewa au unajibu tu?Nafikiri nyie ndiyo mtumie akili.... Matumizi ya condom ni kwaajili ya kujikinga na magonjwa ya Zinaa ikiwemo HIV na uzazi wa mpango.
Kutumia au kutokutumia haina uhusiano na kipimo cha mapenzi kati yenu.
Kwa akili hizi za kwamba huyu tunapendana sana hatutumii condom ndiyo inawafanya muambukizwe HIV na Gonno kizembe

