Akufukuzae hakuambii toka, jiongezeHatakama mkuu shemeji kazidisha
jamaa muongo huyuSawa mkuu endelea kutulisha matango pori tu hii ndo jei efuu bwanaa[emoji23][emoji23]View attachment 873012
Kwaio hio Pentagon ndiyo apo kwa shemeji yakoInauma sana mkuu usiombe ikutokee
Kwa iyo hutak ale Karanga wala pweza? Nyie mlivyokubali kupokea laki NNE mlizan Dada yenu anaenda kupanda maua? Iyo kazi uliyo ona shem wako anakula pweza na baadae Karanga ndo iliyomtoa dadako kwenu!!!!!! ivyo tulia dadako afanye klicho mleta.Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Kwahiyo akinywa supu ya pweza sijui karanga ww nn kinauma hapo na hayo yanauhusiano na mahari ndogo sehemu anakosea nikumshika sehemu zusizostahili mbele yako hapo tu anakosea kwingine sijaona kosa lake ushauri wangu mchane tu aache uzunguHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Mikoani hata chini ya mti tunalala kuliko huo ujinga huyo naye ni wa dar, msinichukie wanaume mliopo dar.mwanaume wa dar ni tabiaHivi nyinyi wavulana wa mikoani mbona mnatuaibisha sana.
Watu wamefukua makaburiSawa mkuu endelea kutulisha matango pori tu hii ndo jei efuu bwanaa[emoji23][emoji23]View attachment 873012
Habari wana JF