unataka umsaidie dada yako/?Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Sasa inakuaje makalio ashikwe yeye kuumia uumie weweNi dada yangu wa tumbo moja mkuu
sasa unataka akushieke wewe? Huyo ni mke wake halali ana haki. Hupaswi kumunyima uhuru!Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada
hahahahahah! Njia ya mwongo ni fupi kweli~Wewe si upo Pentagon unafanya electrical engineering sasa kwa shemeji yako umefuata nini
Sawa mkuu endelea kutulisha matango pori tu hii ndo jei efuu bwanaa[emoji23][emoji23]View attachment 873012
Haka kajamaa ni kaongo kaongo cha kupindukiaWe si ulisema unafanya kazi pale Pentagon kazi ya Electrical Engineering Kwamba wewe ni Mbongo Pelee pale?
Kwa hiyo unataka na wewe ushikwe tako? endelea kuweka matako yako kwa shemeji yako badala ya kujitegemea, siku nyingine mchuzi wa pweza na karanga atakula kwa ajili yako.
Unamuita braza kwan kakuambia yy ni wa kiume???tafuta chumba upange braza;
kama una uwezo wa kumiliki smart phone unashindwa nn kupanga chumba ?
uza hiyo tecno yako hata laki moja anza maisha kibishi dogo;
hapo dawa ni kumpelekea na yako ayashikeshike ili ngoma iwe drooHabari wana JF