Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Nilijua anakunyatia wewe ivooo! kumbe dadako akaaaah! kwani ulitakaje? unaona tabu yeye kumshika Dadako makalio mwaka wa pili mwanamme mzima unakaa kwa Dadako huoni aibu? kama mambo hayajakaa sawa rudi kijijini usichefue watu na kwao.

Ivi ujua kuna kuna mda mwengine mtu unajisikia kufanya mambo yenu ukumbini? sasa wewe miaka miwili uko hapo umejibweteka mtoto wa kiume halafu unaanza eti anamshika makalio ulitakaje wewe amshike nini wakati mkewe?

jifunze kuheshimu ukiwepo kwa watu vimilia utakaya yaona,tena kwani unawekwa na kitu gani wakati shemeji yako yuko na dadako hapo mpaka ukaona kashikwa makalio? fanya usepe sio vizuri..
Shemeji anamakusudi mkuu
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
ACHA UCHAWI..ACHANA NA MAISHA YAO KWANZA SEPA TAFUTA KWAKO...AUUNATAKA WE NDIO UWE UNAHUDUMIWA KAMA DADA YAKO. HERUFI KUBWA SABABU UMETUUDHI WANAUME...MII KAMA WIFE WANGU NAMSHIKA TAKO NDIO...UKIONA BAHATI MBAYA TU
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Sasa we unadhani huyo ni dada yake pia .....ni demu wake so wacha ale utamu wake.....tena kama ni mimi ningekuwa nampiga piston usiku kucha , awe anapiga ukunga wa utamu....na wewe ungekaa chonjo siku ningeomba unipe "blow job" shemeji yangu nikupe mshedede wangu ushike mic.......

Maana kama unamuonea wivu dada yako basi na wewe unataka utamu anaopata dada yako....
Mkuu, ipo siku atambaka na jamaa mwenyewe, maana anaona hadi jamaa anamwonea wivu atamshika kalio bwamdogo ndo ajue kuwa anatakiwa aamshe
 
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Mkuu ulitaka Shemeji yako akuchezee wewe makalio yako na kuyashika shika??.... Huyo dada yako ni Mke wake wa halali kabisa hata kama amelipa "mahari" ya sh. 200, anayo haki na uhuru wa kumshika popote pale atakapo. Tena dada yako anafurahia kushikwa shikwa matako na Mumewe, wacha wanandoa wafurahie maisha yao.
 
JF inaporomoka kila siku..dah!
Inaanza kua na sifa za Facebook..
We need to do something, but sadly! I don't know which kind of thing!
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Mkuu kule Pentagon ulifukuzwa kazi?
 
Back
Top Bottom