Ungemuonea wivu dadako??[emoji15][emoji15][emoji15]Me ndo maana sina dada,nadhani asingeolewa,maana nna wivu hatari!
Vyovyote vile inachangamshaaaChai bora kilele cha ubora[emoji444] ,chai bora kilele cha uboraaaaa [emoji445] iwe na maziwa isiwe na maziwaaaa..[emoji448]
Ndio ningemuonea wivu lijamaa linafaidi bure tuUngemuonea wivu dadako??[emoji15][emoji15][emoji15]
Ndio ningemuonea wivu lijamaa linafaidi bure tu
Enzi hizo wakati naanza chuo mkoa fulani ikabidi nifikie kwa mama mdogo(kaolewa),sasa baada ya kupata akili kwamba kwa shemeji sio pazuri,nkakata mguu akaanza kulalamika mbona huji nyumbani jamani mpaka leo hii ni miaka na miaka imepita sijaenda tena!
Umetoka Pentagon Kuja Kumuangalia Dadaako Akichezewa Matako: → Mtanzania wa kwanza kuanya kazi pentagon - JamiiForums
Ninae mbona naishia tu kucheza nako,kuna muda namuangaliaa halafu bas...halafu kalivo kazuri sasa kamefanana na mama yake(mwarabu)Aiseh!
Sipati picha ukipata mtoto wa kike,si utazuia asiolewe kabisa
Muda ukifika ataanza kukushika wewe. Mwachie tu uone atafanya niniHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Utoke kwanguUpo mpaka huku shemeji?
Mkuu umesharudi Pentagon? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Toka pentagon au?Inabidi nihame mkuu siwezi vumilia