msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
kwani me huna makalio?kama unaona wivu dada akipapaswa makalio na ww peleka yakoMi ni me mkuu

Ubachela umenishinda, natafuta mkeHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Hakuoshei yy anatimiza wajibu wake kama mwanaume.Hata hivyo unaishije kwa Dada yako wakati una uwezo wa kumiliki smartphone! Angalia bn pweza wakifanya kazi anaweza akakushika na ww!Sasa ndo anioshee? Siafanye kistaarabu
unamuonaje huyo dada wa kazi je naye anakuwepo sebuleni wakati dada yako anashikwa shikwa...au anakuwa jikoni...Hawana Mtoto na Dada wa kazi yupo mkuu
Anafuata ushauri. Dada yako ndio aliyemwambia anywe mchuzi wa pweza na karanga mbichiHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
kwa maoni yako dada yako unamuonaje...je analo hilo tako au anaumizwa....je room yako na ya dada zinaelekea...je choo kipo ndani au njee...je hawajawahi ingia chooni pamoja ukasikia wanayoyafanya huko...maswali haya yatakupa faraja japo ni makali wewe endelea tu kujibuJikoni au chumbani kwake...Mara nyingi Dada anashikwa kalio na shemeji nikiwepo Mimi tu
Akimaliza kula makalio ya dada ataanza na ya kwakHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Kwanini ajiongeze kuwa kaambiwa toka?....anachofanya Shemeji yake ni Sawa kabisa. ...kuliko angekuwa ana mzaba vibaoHapo anakwambia toka, amekubeba vya kutosha, jiongeze.
Habari wana JF