Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Dugu miaka miwili bado aikutoshi kustragoo? Ifike hatua nafsi ukusute, jiogeze dugu. Kingwa si kitendo kizuri kumshika matako mbele yako.rakini hamna namna yupo katika imaya yake..
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu

[emoji28][emoji28]inaonekana anakutamani na wewe huyo shemeji akikupa soda usinywe.
 
maamuzi magumu nayoshauri uyachukue ni kuondoka fasta nyumbani kwa shemeji yako na uwaache wapeane raha zao mkuu, dada yako ulitaka umshike matako wewe!? we mboba habiba mtoto wakichaga unataka akupe penzi umshike tako!? we unadhani hana kaka!?
habiba nimemkosa Ndugu yangu
 
Mdogo angu umekuja kunianika huku sasafanya ukakusanye kila kilicho chako usepe na nishaongea na mama watakupokea kesho babati nauli natuma tigo pesa .😁
Shemeji tatizo unakomoa Fanya kistaarabu mahari yenyewe laki NNE tu umelipa
 
Mdogo angu umekuja kunianika huku sasafanya ukakusanye kila kilicho chako usepe na nishaongea na mama watakupokea kesho babati nauli natuma tigo pesa .😁
Shemeji tatizo unakomoa Fanya kistaarabu mahari yenyewe laki NNE tu umelipa
 
Mkuu ulitaka Shemeji yako akuchezee wewe makalio yako na kuyashika shika??.... Huyo dada yako ni Mke wake wa halali kabisa hata kama amelipa "mahari" ya sh. 200, anayo haki na uhuru wa kumshika popote pale atakapo. Tena dada yako anafurahia kushikwa shikwa matako na Mumewe, wacha wanandoa wafurahie maisha yao.
sasa Mimi roho inaniuma
 
Kama dada yako ana msambwanda basi shemeji anakuonesha anavyolifaidi.
 
Mimi ni me mkuu
Umeiabisha Babati na sisi watu wake wote! Kama wewe si mwenyeji lakini kwa sababu zisizofahamika umeamua kuitia doa Babati namna hii na ulaaniwe. Na kama wewe ni mwenyeji wa Babati na bado hujitambui namna hii basi wewe ni mpumba.vu. Babati haina watu wajingawajinga kama wewe.
 
alaf na wa iraq mlivyo wazuri huna dada yako mwngine nkuoe
 
Back
Top Bottom