🙁 mkuu tabia ya MTU ni hulka ya MTU sidhani Kama hili tukio linahusiana na babati au kudharirisha babati kwa namna moja ama nyengine.Umeiabisha Babati na sisi watu wake wote! Kama wewe si mwenyeji lakini kwa sababu zisizofahamika umeamua kuitia doa Babati namna hii na ulaaniwe. Na kama wewe ni mwenyeji wa Babati na bado hujitambui namna hii basi wewe ni mpumba.vu. Babati haina watu wajingawajinga kama wewe.
Yaa maana wanawake wa siku hizi wanataka mwanaume wa maana haswaMkuu unanizidishia machungu
Hahahaa ww tulia tu dada yako apewe matamuHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Nitumie PM ili niamini kweli huwa anashikwaMkuu siunajua tena mambo ya privacy
Tena unajinadi kabisa wewe ni moja ya vijana wanaishi kwa shemeji. Swali: Je, unapata wapi muda wa kufuatilia mambo ya watu?Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Ningekuwa mimi ningewashika wote makalio ndio ungepata akili